GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuuu kunywa maji upunguze munkari" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "
" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "
" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "
" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "
" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "
" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "
" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Kocha amekula korosho?
Ni hii mechi moja waliyozingua?Jamani lets do a very positive analysis, lesotho iko 3000 metres above sea level , ni kama kuwa na uwanja wa mpira kitulo au kipengere, sisi wachezaji wanatoka Dar as sea level, kucheza mahali ambapo oxygen levels ni short inataka juhudi kubwa kuzoea, nahisi timu ingefanya mazoezi Ethiopia Kati ingezoea siyo South Africa, viongozi wa Michezo ni bure kabisa sii wachezaji
Hawana lolote wanashindwa kuichukia ccm inayowatia umaskini Badala yakeUkitaka kuzisikia ' Nyongo ' za Watanzania Wewe wakere / waudhi tu katika Jambo leo jema wanalolitaka na ambalo wamelingojea na wanalihangaikia kwa muda mrefu. Kocha Amunike kayataka mwenyewe na nina uhakika hadi mwezi Machi mwakani ambapo tutakuwa ndiyo tunamalizia mechi yetu dhidi ya Uganda Cranes 'atayakoga ' sana tu na pengine anaweza hata akaamua ' Kujiuzuru ' na kuwapisha wengine.
Jamani lets do a very positive analysis, lesotho iko 3000 metres above sea level , ni kama kuwa na uwanja wa mpira kitulo au kipengere, sisi wachezaji wanatoka Dar as sea level, kucheza mahali ambapo oxygen levels ni short inataka juhudi kubwa kuzoea, nahisi timu ingefanya mazoezi Ethiopia Kati ingezoea siyo South Africa, viongozi wa Michezo ni bure kabisa sii wachezaji
Kunywa maji usikasirike dogoView attachment 939030
MsameheeMkuu kwa hasira nilizonazo na hiki ulichokiandika hapa nakuomba tu unyamaze kwani unaweza ukasababisha ' nikachafua ' hali ya hewa ya huu ' Uzi ' sasa hivi na nikakujibu vibaya sawa? Siku nyingine uwe unafanya angalau hata tafiti kidogo tu kabla ' hujakurupuka ' kuja hapa.
Kwa kukusaidia tu ni kwamba hali ya hewa ya Maseru nchini Lesotho kwa Kipindi hiki ni Joto Kali na Jua jingi na kama jana uliwasikia Watangazaji wa TBC Taifa akina Enock Bwigane na Mchambuzi Mwalimu Kashasha walisema mapema tu kabla ya mtanange / mchezo kuwa kwa suala ya hali ya hewa iliyokuwepo ilikuwa ni hii hii ambayo tumeizoea hapa Dar es Salaam Tanzania hivyo isingekuwa Kikwazo sasa inakuwaje Wewe unakuja tena hapa na ' Mazingaombwe ' yako haya?
Naomba usinizidishie hasira zangu tafadhali!
Alichoniudhii kufanyia majaribio kwa wachezaji wa ajabu kwenye mechii muhimu kama ile ...Lazima nikasirike tu Mkuu na kama angepanga moja ya Kikosi hiki wala yasingemkuta na asingetulaza kwa hasira kiasi hiki...
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe / Salum Kimenya
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Abubakary Salum / Faisal Salum
9. Thomas Ulimwengu / Shaaban Chilunda
10. John Boko
11. Shiza Kichuya
au
1. Aishi Manula
2. Ramadhan Kessy / Salum Kimenya
3. Abdi Banda / Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Faisal Salum / Abubakary Salum
9. Shaaban Chilunda / Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya