Waziri Mwakyembe ' mfowadie ' haraka Bosi wako JPM hizi ' SMS ' za Watanzania kutoka Mitandaoni kwa Kocha Amunike

" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "

" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "

" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "

" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "

" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "

" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "

" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Hahaaaa we noma sana , inaonekana unapenda sana papuchi za wake za watu wanaokukera [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "

" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "

" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "

" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "

" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "

" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "

" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Yule alibet
 
Jamani kuna kuzingua na kufikia uwezo. Team kubwa zile zinaweza kuwa na siku mbaya moja. sisi nadhani huu ndio uwezo wetu sasa kama umefikia mwisho wa uwezo ufanye nini? mpira wetu wa magazetini kama udaku kichwa cha kocha kikubwa kama vichwa vyetu vya habari. Tukubali mpira wetu bado na ndio maana unakuta nchi kama Kenya na Uganda kimyaa media zao lakini hao wanaenda Afcom na Burundi huyo... sasa sisi sikiliza habari zetu unaweza ukadhani tuko level zakina Senegal au Tunis.
Mkuu mechi za stars umeziangalia zote chini ya huyu kocha?
 
" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "

" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "

" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "

" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "

" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "

" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "

" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Anaweza kuwa na mapungufu yake lakini tusifikie hatua ya udhalilishaji
 
Tumpe muda. Ni rahisi kuona fursa ukiwa nje ya uwanja kuliko ukiwa ndani. Matusi kwa kocha utadhani yeye ndiye aliyeingia kucheza! Hivi tungeshinda bado mngemtukana?
 
Kwa maoni yangu na kusema ule ukweli, tunahitaji kuinua kiwango chetu cha mpira kwa kuweka mikakati mizuri ya soka la vijana. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada hata umlishe vipi mapochopocho. Tunacheza mpira mdomoni zaidi kuliko uwanjani. Hata Fainali za Afcon tukienda na timu mbovu tutakuwa jamvi la wageni
 
" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "

" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "

" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "

" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "

" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "

" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "

" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Kocha mwenyewe mbona anafanana na mwakyembe?
 
Back
Top Bottom