Waziri Mwakyembe ' mfowadie ' haraka Bosi wako JPM hizi ' SMS ' za Watanzania kutoka Mitandaoni kwa Kocha Amunike

Waziri Mwakyembe ' mfowadie ' haraka Bosi wako JPM hizi ' SMS ' za Watanzania kutoka Mitandaoni kwa Kocha Amunike

Lakini alipanga wachezaji 11 na wote ni wa taifa. Tatizo liko kwa wachezaji wamekuwa laini mno. Next time wachezaji watoke mikoani tu Dar ipigwe ban kwa miaka 10 So that they can learn to become men! Warudishe mil 50 yetu tupeleke kwenye korosho. Rais anasema tutembee vifua mbere wao wanarudisha makalio nyuma kama wacheza pool

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Jamani lets do a very positive analysis, lesotho iko 3000 metres above sea level , ni kama kuwa na uwanja wa mpira kitulo au kipengere, sisi wachezaji wanatoka Dar as sea level, kucheza mahali ambapo oxygen levels ni short inataka juhudi kubwa kuzoea, nahisi timu ingefanya mazoezi Ethiopia Kati ingezoea siyo South Africa, viongozi wa Michezo ni bure kabisa sii wachezaji
Waganda wanakuja Dar tuanze kusherehekea ushindi? Wafanzania sasa imekuwautamaduni
 
Ni kweli niiiachia ' Hirizi ' baada ya ' Mpuuzi ' huyu mbarika ' Kunitibua ' na nilimwambia kuwa naiachia na muda mchache tunafungwa na ndani ya dakika tatu tu tukapigwa ' Kidude ' kilichotung'ang'ania. Na cha Kushangaza huyo huyo mbarika baada ya Kuona kuwa nilichomhakikishia kilitimia akarudi tena Kwangu Kuomba ' po / radhi ' nikamjibu ' Kunya ' na kumwambia kuwa ameshachelewa.

Kuna baadhi ya Watu wanadhani kuwa Mshabiki wa kweli wa Taifa Stars ni mpaka labda usafiri na Timu kokote iendako kumbe wanasahau kwamba kuna Sisi wengine akina GENTAMYCINE michango yetu kwa hii Timu ni hasa katika upande wa Ulozi / Ndumba / Utamaduni / Ushirikina na binafsi nina ' Mtaalam ' wangu huko Pemba Kisiwani Zanzibar ambaye mara zote hakuna ambacho huniambia kinachohusiana na Mpira hasa huu wa Kibongobongo kisitimie.

Siku mbili kabla niliweka Kikosi ambacho Yeye mwenyewe ' Mtaalam ' aliniambia kuwa ndicho kinatakiwa Kianze dhidi ya Lesotho kwakuwa ' Kinyota ' Kingeibeba zaidi Timu na baadae tena baada ya Beki Shomari Kapombe Kuumia akanitumia tena Kingine ambacho kilikuwa na marekebisho machache tu na nakumbuka kila mara alikuwa anasisitiza kuwa kisibadilishwe hadi dakika zote 90 na nikawaomba Watu hapa ' waifowadi ' ile ' Line Up ' kwa Watu wa TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars nikaonekana kama vile Pomboyo / Mpuuzi fulani hivi na hatimaye jana yametukuta.

Hahahahahaha, mkuu hata mie nina hasira lakini imenibidi nicheke tuuuu

Kumbe walikupuuza bhana? 😀😀
 
Sasa kwakuwa mmenichokoza nawawekeeni hapa hapa na matokeo rasmi ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Uganda Cranes na Cape Verde dhidi ya Lesotho na nani atapita kati ya Tanzania, Lesotho na Cape Verde. Na hii ni kwa mujibu wa huyu huyu ' Mtaalam ' wangu hatari wa Kipemba.

Taarifa ikufikie popote pale ulipo ewe Mtanzania kwamba hiyo mechi yetu ya Uganda tutatoka sare ambayo itakuwa ama ya Magoli au isiyo na Magoli ila ni Sare ( Draw ) na mechi kati ya Cape Verde na Lesotho ni kwamba Cape Verde atashinda hivyo Kufikisha alama zake Saba ( 7 ) na kutuacha Tanzania na alama zetu Sita ( 6 ) na Lesotho watabaki na alama zao Tano ( 5 ) na hatimaye Cape Verde ndiyo ataungana rasmi na Uganda kwenda huko AFCON 2019.

Naomba hii ' post ' itunzwe na kila Mtu awe nayo kwani ndiyo ukweli wenyewe na hata Tanzania tufanye nini au tujitahidi kufanya juhudi zozote matokeo ndiyo hayo hayatabadilika. Ushauri wangu tu kwa TFF, Watanzania na hata Rais wetu Dkt. JPM ni kwamba hivi sasa tuwekeze nguvu zetu nyingi kwa Timu za Taifa za Vijana Serengeti Boys na Ngorongoro Heroes ili zifanye vyema katika michuano yao inayoshiriki sasa na pia tuanze sasa Kuiandaa Timu ya Taifa Stars ya Kufuzu na Kucheza AFCON ya 2021 ila hii ya Cameroon mwakani tumeshatepeta kama siyo kutokota na endeleeni tu Kudanganyana na Kupeana moyo.

Nimemaliza.

kiufupi tu hata Mimi sijapendezwa na haya matokeo

Jana numepata hasira sana ,Kama ningekuwa karibu na Amunike Basi ningekuwa nashikiliwa na polisi
 
Jamani lets do a very positive analysis, lesotho iko 3000 metres above sea level , ni kama kuwa na uwanja wa mpira kitulo au kipengere, sisi wachezaji wanatoka Dar as sea level, kucheza mahali ambapo oxygen levels ni short inataka juhudi kubwa kuzoea, nahisi timu ingefanya mazoezi Ethiopia Kati ingezoea siyo South Africa, viongozi wa Michezo ni bure kabisa sii wachezaji
Kwa ufupi wachezaji wa Tz hawa fundishiki. Kocha hana tatizo
 
Huwezi kumweka bechi Mkude ambaye ndiye mido mkabaji bora kwa sasa!! Huwezi kumwekw Boko ana uzoefu na ubora mkubwa!!
Aondoke tu huyo jamaa; hiyo game ya mwisho na Uganda apewe msaidizi wake ili naye akiboronda tutahangaika naye si wa hapa hapa.

Timu hata hatujui lilicheza formation gani; yaani ka timu limekusanywa mchana jioni mechi. Ndondo ndo aise!!
 
Walipotembelea mitaa ile tu nilijua kuwa AFCON hatuendi! Mtasema Mi so mzalendo?
 
Mkuu kwa hasira nilizonazo na hiki ulichokiandika hapa nakuomba tu unyamaze kwani unaweza ukasababisha ' nikachafua ' hali ya hewa ya huu ' Uzi ' sasa hivi na nikakujibu vibaya sawa? Siku nyingine uwe unafanya angalau hata tafiti kidogo tu kabla ' hujakurupuka ' kuja hapa.

Kwa kukusaidia tu ni kwamba hali ya hewa ya Maseru nchini Lesotho kwa Kipindi hiki ni Joto Kali na Jua jingi na kama jana uliwasikia Watangazaji wa TBC Taifa akina Enock Bwigane na Mchambuzi Mwalimu Kashasha walisema mapema tu kabla ya mtanange / mchezo kuwa kwa suala ya hali ya hewa iliyokuwepo ilikuwa ni hii hii ambayo tumeizoea hapa Dar es Salaam Tanzania hivyo isingekuwa Kikwazo sasa inakuwaje Wewe unakuja tena hapa na ' Mazingaombwe ' yako haya?

Naomba usinizidishie hasira zangu tafadhali!
Huyo jamaa jino linamuuma atakua anabangua korosho kwa meno.
Kama hizo ndo sababu si tungefungwa mamia ya magoli! Aache visingizio vya ajabu ajabu hapa. Kwani sisi ndiyo nchi ya kwanza kucheza Lesotho?
Tushakua mwendawazimu's head
 
Mkuu kwa hasira nilizonazo na hiki ulichokiandika hapa nakuomba tu unyamaze kwani unaweza ukasababisha ' nikachafua ' hali ya hewa ya huu ' Uzi ' sasa hivi na nikakujibu vibaya sawa? Siku nyingine uwe unafanya angalau hata tafiti kidogo tu kabla ' hujakurupuka ' kuja hapa.

Kwa kukusaidia tu ni kwamba hali ya hewa ya Maseru nchini Lesotho kwa Kipindi hiki ni Joto Kali na Jua jingi na kama jana uliwasikia Watangazaji wa TBC Taifa akina Enock Bwigane na Mchambuzi Mwalimu Kashasha walisema mapema tu kabla ya mtanange / mchezo kuwa kwa suala ya hali ya hewa iliyokuwepo ilikuwa ni hii hii ambayo tumeizoea hapa Dar es Salaam Tanzania hivyo isingekuwa Kikwazo sasa inakuwaje Wewe unakuja tena hapa na ' Mazingaombwe ' yako haya?

Naomba usinizidishie hasira zangu tafadhali!
Hahaha joto Kali linauhusiano gani na ATTITUDE? Sitaki kukuzungumzia lakini inabidi nauliza ulisoma wapi na mpaka level gani.
 
sodoliki hoja yako ni ya kitaalamu sana unaweza kuiongezea nyama kidogo ili ieleweke? Kuna watu wanadhani kushindwa kupanda Mlima Kilimanjaro ama mlima mwingine ule kunatokana na urefu wake, kumbe mwinuko toka usawa wa bahari huamua uwezo wa mtu kupumua na mwili kutenda kazi ipasavyo ama kama mwili ulivyozoea!!
Kaka, Mfundishe huyu mrundi gentamycine, nishammuliza alisema WAPI?
 
Hahaha joto Kali linauhusiano gani na ATTITUDE? Sitaki kukuzungumzia lakini inabidi nauliza ulisoma wapi na mpaka level gani.

Mimi sijasoma Elimu yoyote Mkuu na niliishia tu Darasa la Saba ila kwa ' IQ ' ambayo Mwenyezi Mungu amenibariki nayo na iliyotukuka nina uhakika Kuanzia Wewe, Familia yako na Koo zako zote mbili mkizijumlisha ' IQ's ' zenu hata hamuwezi Kufikia Robo Tatu tu ya niliyonayo. Nasisitiza tena Kwako kuwa GENTAMYCINE nimeishia Elimu ya Darasa la Saba tu ila nikupe pia hongera / kongole Wewe mwenye Elimu kubwa kunizidi lakini umeandika ' Uharo ' wako huu wa Kiwango cha Kimataifa.
 
Wastage of time and resources
 
Wastage of time and resources

Huna ' IQ ' wala ' ubavu ' wa Kupambana na Kujibizana na Mimi hapa. Walijaribu ' Majabali ' wa Jamvi hili na wamesalimu amri utakuwa ' Kidudu Mtu ' Wewe?
 
Mbona watu mnamlaumu kocha tuu bila kuongea lolote kuhusu hujuma za uwanja wa nyasi za plastic uliojazwa material ya rubber mengi kiasi cha kufanya mpira kukosa uelekeo? Hata wao bonafsi pamoja na kuuzoea uwanja huo uliwanyima magoli ya wazi kama mawili. Kingine uwanja opo wazi kabisa na upepo mkali ulikuwa unaingia kiasi cha kuaharibu mbinu na mipango ya timu. Hawa CAF kama walikuwa wanamwakilishi wo kwenye mechi ile wamejionea wenyewe. Mpira haukuchezwa pale zaidi ya kurukaruka, kauwanya kadogo hakana hata nafasi ya kutengeneza shambulizi? yaani hata uwanja wa AZAM ni bora kabisa. Nchi gani ile? kama walijua hawana uwanja si wangeomba wacheze kwa ndugu zao afrika ya kusini ?
 
Watanzaniania, kama ilivyo kwa watu wa mataifa mengine, huwachukua muda mfupi tu kumtambua kumpinga na hatimae kuungana kumkataa kocha wa Timu ya Taifa kwasababu ya kuumizwa na matokeo mabaya ya timu yao.Lakini, ni watanzania hao hao, huwachukua muda mrefu kumtambua, kumpinga na hatimae kuungana kumkataa kiongozi mbovu ambae maamuzi yake huwaumiza wao na Taifa kwa ujumla!

Je, ni kwanini?
Watanzania hatujazoea kushindana kwa haki.
Tumezoea bao la mkono kuanzia kwenye siasa.

Labda kama itatokea marefa. Wrote. H awe Mtanzania na makamisaa wote wawe watanzania ili wafunge goli la mkono.
Maandalizi duni halafu tunataka ushindi. Hayo tuyaache kwenye Chaguzi zetu za kisiasa sio mpira tena mechi za kimataifa.
 
Ni hii mechi moja waliyozingua?
Jamani kuna kuzingua na kufikia uwezo. Team kubwa zile zinaweza kuwa na siku mbaya moja. sisi nadhani huu ndio uwezo wetu sasa kama umefikia mwisho wa uwezo ufanye nini? mpira wetu wa magazetini kama udaku kichwa cha kocha kikubwa kama vichwa vyetu vya habari. Tukubali mpira wetu bado na ndio maana unakuta nchi kama Kenya na Uganda kimyaa media zao lakini hao wanaenda Afcom na Burundi huyo... sasa sisi sikiliza habari zetu unaweza ukadhani tuko level zakina Senegal au Tunis.
 
Mbona watu mnamlaumu kocha tuu bila kuongea lolote kuhusu hujuma za uwanja wa nyasi za plastic uliojazwa material ya rubber mengi kiasi cha kufanya mpira kukosa uelekeo? Hata wao bonafsi pamoja na kuuzoea uwanja huo uliwanyima magoli ya wazi kama mawili. Kingine uwanja opo wazi kabisa na upepo mkali ulikuwa unaingia kiasi cha kuaharibu mbinu na mipango ya timu. Hawa CAF kama walikuwa wanamwakilishi wo kwenye mechi ile wamejionea wenyewe. Mpira haukuchezwa pale zaidi ya kurukaruka, kauwanya kadogo hakana hata nafasi ya kutengeneza shambulizi? yaani hata uwanja wa AZAM ni bora kabisa. Nchi gani ile? kama walijua hawana uwanja si wangeomba wacheze kwa ndugu zao afrika ya kusini ?

Samahani ila naomba niseme tu kuwa nimekudharau kupita maelezo kwa hiki ulichokiandika. Siku zingine uwe unanyamaza tu.
 
Back
Top Bottom