Waziri Mwakyembe ' mfowadie ' haraka Bosi wako JPM hizi ' SMS ' za Watanzania kutoka Mitandaoni kwa Kocha Amunike

Lakini alipanga wachezaji 11 na wote ni wa taifa. Tatizo liko kwa wachezaji wamekuwa laini mno. Next time wachezaji watoke mikoani tu Dar ipigwe ban kwa miaka 10 So that they can learn to become men! Warudishe mil 50 yetu tupeleke kwenye korosho. Rais anasema tutembee vifua mbere wao wanarudisha makalio nyuma kama wacheza pool

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Waganda wanakuja Dar tuanze kusherehekea ushindi? Wafanzania sasa imekuwautamaduni
 


Hahahahahaha, mkuu hata mie nina hasira lakini imenibidi nicheke tuuuu

Kumbe walikupuuza bhana? 😀😀
 



kiufupi tu hata Mimi sijapendezwa na haya matokeo

Jana numepata hasira sana ,Kama ningekuwa karibu na Amunike Basi ningekuwa nashikiliwa na polisi
 
Kwa ufupi wachezaji wa Tz hawa fundishiki. Kocha hana tatizo
 
Huwezi kumweka bechi Mkude ambaye ndiye mido mkabaji bora kwa sasa!! Huwezi kumwekw Boko ana uzoefu na ubora mkubwa!!
Aondoke tu huyo jamaa; hiyo game ya mwisho na Uganda apewe msaidizi wake ili naye akiboronda tutahangaika naye si wa hapa hapa.

Timu hata hatujui lilicheza formation gani; yaani ka timu limekusanywa mchana jioni mechi. Ndondo ndo aise!!
 
Walipotembelea mitaa ile tu nilijua kuwa AFCON hatuendi! Mtasema Mi so mzalendo?
 
Huyo jamaa jino linamuuma atakua anabangua korosho kwa meno.
Kama hizo ndo sababu si tungefungwa mamia ya magoli! Aache visingizio vya ajabu ajabu hapa. Kwani sisi ndiyo nchi ya kwanza kucheza Lesotho?
Tushakua mwendawazimu's head
 
Hahaha joto Kali linauhusiano gani na ATTITUDE? Sitaki kukuzungumzia lakini inabidi nauliza ulisoma wapi na mpaka level gani.
 
Kaka, Mfundishe huyu mrundi gentamycine, nishammuliza alisema WAPI?
 
Hahaha joto Kali linauhusiano gani na ATTITUDE? Sitaki kukuzungumzia lakini inabidi nauliza ulisoma wapi na mpaka level gani.

Mimi sijasoma Elimu yoyote Mkuu na niliishia tu Darasa la Saba ila kwa ' IQ ' ambayo Mwenyezi Mungu amenibariki nayo na iliyotukuka nina uhakika Kuanzia Wewe, Familia yako na Koo zako zote mbili mkizijumlisha ' IQ's ' zenu hata hamuwezi Kufikia Robo Tatu tu ya niliyonayo. Nasisitiza tena Kwako kuwa GENTAMYCINE nimeishia Elimu ya Darasa la Saba tu ila nikupe pia hongera / kongole Wewe mwenye Elimu kubwa kunizidi lakini umeandika ' Uharo ' wako huu wa Kiwango cha Kimataifa.
 
Wastage of time and resources
 
Wastage of time and resources

Huna ' IQ ' wala ' ubavu ' wa Kupambana na Kujibizana na Mimi hapa. Walijaribu ' Majabali ' wa Jamvi hili na wamesalimu amri utakuwa ' Kidudu Mtu ' Wewe?
 
Mbona watu mnamlaumu kocha tuu bila kuongea lolote kuhusu hujuma za uwanja wa nyasi za plastic uliojazwa material ya rubber mengi kiasi cha kufanya mpira kukosa uelekeo? Hata wao bonafsi pamoja na kuuzoea uwanja huo uliwanyima magoli ya wazi kama mawili. Kingine uwanja opo wazi kabisa na upepo mkali ulikuwa unaingia kiasi cha kuaharibu mbinu na mipango ya timu. Hawa CAF kama walikuwa wanamwakilishi wo kwenye mechi ile wamejionea wenyewe. Mpira haukuchezwa pale zaidi ya kurukaruka, kauwanya kadogo hakana hata nafasi ya kutengeneza shambulizi? yaani hata uwanja wa AZAM ni bora kabisa. Nchi gani ile? kama walijua hawana uwanja si wangeomba wacheze kwa ndugu zao afrika ya kusini ?
 
Watanzania hatujazoea kushindana kwa haki.
Tumezoea bao la mkono kuanzia kwenye siasa.

Labda kama itatokea marefa. Wrote. H awe Mtanzania na makamisaa wote wawe watanzania ili wafunge goli la mkono.
Maandalizi duni halafu tunataka ushindi. Hayo tuyaache kwenye Chaguzi zetu za kisiasa sio mpira tena mechi za kimataifa.
 
Ni hii mechi moja waliyozingua?
Jamani kuna kuzingua na kufikia uwezo. Team kubwa zile zinaweza kuwa na siku mbaya moja. sisi nadhani huu ndio uwezo wetu sasa kama umefikia mwisho wa uwezo ufanye nini? mpira wetu wa magazetini kama udaku kichwa cha kocha kikubwa kama vichwa vyetu vya habari. Tukubali mpira wetu bado na ndio maana unakuta nchi kama Kenya na Uganda kimyaa media zao lakini hao wanaenda Afcom na Burundi huyo... sasa sisi sikiliza habari zetu unaweza ukadhani tuko level zakina Senegal au Tunis.
 

Samahani ila naomba niseme tu kuwa nimekudharau kupita maelezo kwa hiki ulichokiandika. Siku zingine uwe unanyamaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…