Kwnn umdharau mtu kwa maoni yake?Samahani ila naomba niseme tu kuwa nimekudharau kupita maelezo kwa hiki ulichokiandika. Siku zingine uwe unanyamaza tu.
Kwnn umdharau mtu kwa maoni yake?
Hahaaaa we noma sana , inaonekana unapenda sana papuchi za wake za watu wanaokukera [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "
" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "
" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "
" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "
" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "
" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "
" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Hahaaaa we noma sana , inaonekana unapenda sana papuchi za wake za watu wanaokukera [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yule alibet" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "
" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "
" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "
" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "
" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "
" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "
" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Mkuu mechi za stars umeziangalia zote chini ya huyu kocha?Jamani kuna kuzingua na kufikia uwezo. Team kubwa zile zinaweza kuwa na siku mbaya moja. sisi nadhani huu ndio uwezo wetu sasa kama umefikia mwisho wa uwezo ufanye nini? mpira wetu wa magazetini kama udaku kichwa cha kocha kikubwa kama vichwa vyetu vya habari. Tukubali mpira wetu bado na ndio maana unakuta nchi kama Kenya na Uganda kimyaa media zao lakini hao wanaenda Afcom na Burundi huyo... sasa sisi sikiliza habari zetu unaweza ukadhani tuko level zakina Senegal au Tunis.
Anaweza kuwa na mapungufu yake lakini tusifikie hatua ya udhalilishaji" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "
" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "
" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "
" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "
" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "
" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "
" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Kocha mwenyewe mbona anafanana na mwakyembe?" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu "
" Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu "
" We Kocha ana Sura mbaya utadhani Kifaru anajisaidia Haja Kubwa unadhani kuna Ushindi hapo? "
" Tanzania tungeruhusiwa Kumiliki Silaha kama Njugu Nigeria leo wangerudishiwa Maiti yao tu "
" Hili Dubwana sijui TFF wameliokota wapi "
" Na asikanyage hapa Tanzania kwani tutamteka kuliko hata alivyotekwa Mo Dewji "
" Wewe Kocha gani wa Timu ya Taifa ana Kichwa Kikubwa kama Tairi za Vitz na IST? "
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Kocha mwenyewe mbona anafanana na mwakyembe?
Na mauso yao kama bakuli mkuu.Hasa ' Mipua ' yao Mkuu. Uko sahihi kwa 100%.