Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Kwenye tamasaha la Home coming la Vanny katukana sana
 
Nguvu inayotumika kuwabana hawa vijana ingetumika kuwainua kimaisha, mfano kutoa elimu ya ujasiriamali, mikopo yenye riba nafuu, ajira nk tungekuwa mbali kama taifa.
 
Hakuna nguvu inayotumika kuwabana hao vijana, ila ni lazima wakumbushwe kuwa wazalendo.
 
Bi serikali ya ccm ndio inafanya watu wajione wamo inchini kwao bahati mbaya
 
Sikujua una roho mbaya hivi mkuu.......roho mbaya haijengi ndugu
 
Linapokuja suala la UZALENDO kwa nchi yangu sitaki urafiki na mtu. Kamwe sitavumilia kuona nchi yangu inachafuliwa taswira yake njema na kutukanwa kisha nikakaa kimya tu...!!!!!!!!!
 
Sio uzalendo unatafuata uteuzi

Kwani bongo si bahati mbaya tu?
Linapokuja suala la UZALENDO kwa nchi yangu sitaki urafiki na mtu. Kamwe sitavumilia kuona nchi yangu inachafuliwa taswira yake njema na kutukanwa kisha nikakaa kimya tu...!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…