Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Tunajadili kitu gan wakat hata mtoa mada hajui chochote kilichopo kwny wimbo huo zaid ya kusikia tu maneno ya Wateja wake wa ubuyujadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Hahhahahahaaaaa mwakyembe nae bongo bahati mbaya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hao hao Mawaziri na wao wanaona wako Bongo Bahati Mbaya.