Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Aisee naona umefunguka sana
 
jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.

Hoja ya hapa ni kua tupo bongo bahati mbaya?
 
Jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Hoja ni kwamba Bongo si sehemu salama kuishi hasa kwa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.

Nyimbo za Mrisho Mpoto zimewasaidia nini ? Yaani anamsema Sizonje kwenye wimbo halafu kwenye uhalisia anampigia kampeni na kumsifu kila siku ....unafki mtuuuuupu kwendraaaaaa bora tucheze tu Bongo bahati mbaya
 
Infantry Soldier,

1. Ushampa kiki Young Dee.

2. Kuna wabongo asilimia ngapi wenye uwezo wa kuishi nje ya bongo ukiwapa nafasi ya kwenda kuishi nje sehemu wanayoitaka watakataa kuitumia nafasi hiyo?

3. Mwanamuziki ana haki ya kikatiba ya uhuru wa maoni. Young Dee kavunja sheria gani kutoa maoni yake ambayo yanaonekana kukubalika na watu wengi tu?

4. Mbona wengi tu tuliona tupo Bongo bahati mbaya miaka mingi tu. Tukasepa. Tupo viwanja tunatafuta maisha vizuri tu na tunasaidia ndugu zetu bongo sasa hivi Baba Ubaya alivyofunga mzunguko wa fedha huko?

5. Kwani mtu akisema kwamba yuko Bongo bahati mbaya maana yake anaichukia nchi yake? Pengine alitaka kwenda kuhiji Maka muda huu kashindwa, hivyo kuwa Bongo kwake yeye kwa misingi ya dini yake ni bahati mbaya, kwa maana ingekuwa bahati nzuri sana angekuwa kaenda kuhiji Maka. Mtu huyo akisema yupo Bongo bahati mbaya atakuwa kakosea kuamini dini yake?

Sent from my Kimulimuli
 
Niko bongo bahati mbaya tuu

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…