Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote.

Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwahiyo Tanzania ya viwanda haiwezi kujizalishia walau mafuta ya kupikia?
Azam TV wamefafanua vizuri yaani mahitaji yetu ni zaidi ya tani laki tano wakati uzalishaji wetu wa ndani ni around tani laki mbili tuu...
 
Nilisikia kuna meli inapakua mafuta wiki chache zilizopita, lakini sidhani kama kweli kuna mafuta yameletwa na hizo meli.
Kwa mujibu wa Waziri Mwambe Meli hizo mbili zimeshapakua shehena ya mafuta na kuondoa kabisa uhaba uliokuwepo!
 
Azam TV wamefafanua vizuri yaani mahitaji yetu ni zaidi ya tani laki tano wakati uzalishaji wetu wa ndani ni around tani laki mbili tuu...
Pambia la Tanzania ya viwanda limefia wapi?

Huyo waziri amesema tuaitegemee bei ya mafuta ya kula itashuka. Sababu uzalishaji kwa Mabeberu umepungua kwa sababu ya Corona,
Na Mimi nasema nafuu Bei inapanda hata Lita moja ifike TSH 20,000/ ili tuiaome namba vizuri tukiwa na wanyonge wetu,

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Nilikwambia hili ni liongo ukanibishia, Uongo wa Meli Kupakua Shehena ya Mafuta bandarini umeishia Ukingoni, au Siyo?

Haya majitu majinga majinga tu, lingine linajikakamua Kukanusha Korona hakuna wakati lenyewe limejificha Kwao linazindua tu mashamba ya miti pumbavu
 
Mwambe kazi imemshinda, anapenda kuonekana kwenye media kila wakati akiwapa watu matumaini kumbe hakuna lolote analofanya
 
Back
Top Bottom