Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

Bidhaa hii ni muhimu sana jikoni. Wahusika wa hili waangalie bei mana kila kukicha bei inapanda kwa kasi. Watu wa kipato cha chini tunaisoma kimya kimya.
 
Bidhaa hii ni muhimu sana jikoni.Wahusika wa hili waangalie bei mana kila kukicha bei inapanda kwa kasi.Watu wa kipato cha chini tunaisoma kimya kimya.
Hii nchi bwana, tunahitaji maombi tu!!hata kesho mafuta lita moja iwe 10, 000 hakuna cha kufanya!!toka waziri aliposema kuna meli zinaahusha mafuta bandarini huu sasa ni mwezi!!hakuna cha unafuu!!tatizo ni pale mambo ya kiuchumi yanajibiwa kisiasa!!leo unasikia mtu anashangilia eti hukumu kuandikwa kiswahili!!
 
Bidhaa hii ni muhimu sana jikoni.Wahusika wa hili waangalie bei mana kila kukicha bei inapanda kwa kasi.Watu wa kipato cha chini tunaisoma kimya kimya.
Subiri tuvune alizeti.
 
Mawese huku yapo bei nzuri ila sijayazoea harufu yake.
 
Yani lita 3 huku kwetu ni 18,000 ambayo mwaka jana ilikua 11000 November.(Safi na Korie)hio alizeti haikamatiki(25,000 lita 3)
Hiyo alizeti yenyewe mpaka uipate sasa.
 
Back
Top Bottom