johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Azam TV wamefafanua vizuri yaani mahitaji yetu ni zaidi ya tani laki tano wakati uzalishaji wetu wa ndani ni around tani laki mbili tuu...Kwahiyo Tanzania ya viwanda haiwezi kujizalishia walau mafuta ya kupikia?
Kwa mujibu wa Waziri Mwambe Meli hizo mbili zimeshapakua shehena ya mafuta na kuondoa kabisa uhaba uliokuwepo!Nilisikia kuna meli inapakua mafuta wiki chache zilizopita, lakini sidhani kama kweli kuna mafuta yameletwa na hizo meli.
Hivi ukikaa kimya nini kitatokea kuliko kujitia aibu na majibu mepesi haya.Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote...
Kwa mujibu wa waziri Mwambe meli hizo mbili zimeshapakua shehena ya mafuta na kuondoa kabisa uhaba uliokuwepo!
Wewe uko bandarini?!Kwa mujibu wa maelezo yake, lakini kiuhalisia sio kweli.
Pambia la Tanzania ya viwanda limefia wapi?Azam TV wamefafanua vizuri yaani mahitaji yetu ni zaidi ya tani laki tano wakati uzalishaji wetu wa ndani ni around tani laki mbili tuu...
Wewe uko bandarini?!
Itashukaje wakati production cost inapanda?Sihitaji kuwa bandarini, nahitaji kuona bei ya mafuta imeshuka. Au kujua bei ya mafuta kushuka lazima niwe bandarini?