Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

Serekali ipi hiyo?Tokea lini serekali fake ikaangaika na matatizo ya wananchi?Si unaona Sukari na Saruji wamekaa kimya?Waziri husika alishasingizia kuwa mafuta yamepanda bei huko mamtoni,hukuona bandiko hilo hapa JF?Stay tuned the worst is yet to come!
 
We Miss nipo mbali sana(Toronto)
 
Watatue tatizo na sio maneno mengi
 
Hehehehehe
 
Ile meli tuliyoambiwa inapakuwa mafuta na ikimaliza mambo yatakuwa safi iko wapi tena?.
 
Tuna bahati mbaya sana kama Taifa, nnafikiri iko laana inatutesa mahala na lazma tuombe sana dua, aina hii ya Viongozi ni laana kubwa sana kwa nchi hii, yaani huyu ni Waziri mwenye dhamana ndio anajibu majibu ya chekechea namna hii, Daah haya bwana
 
Hapa tumepigwa kamba😬😬😬 Juzi nimezunguka mtaa mzima mafuta hayapo yameisha yani hayapo kabisa.

What does this mean in comparison with increase in production cost?
 

Uchumi wa kati.
Wapinzani walitucherewesha
 
Ile meli tuliyoambiwa inapakuwa mafuta na ikimaliza mambo yatakuwa safi iko wapi tena?.

Naona bado inapakua,
Nafikiri kuna mzigo wa kutosha kila familia lita20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…