Kiazi wewe, kwani wazazi si wapo, au umeambiwa hawana mikono.Tatizo lako umekosa hekima, hauna uwezo wa kupambanua mambo kwa harakaharaka umekariri sheria bila kuzielewa. Mkuu wa wilaya ametoa adhabu ya viboko kama mzazi. Amechukua nafasi ya mzazi kuwachapa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Pia mkuu wa wilaya amechukua nafasi ya mwalimu kutoa adhabu. Tatu adhabu za viboko shuleni ni jambo la kawaida na ni sheria mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko. Mwanafunzi adhabu zake sio za kwenda mahakamani labda kama kosa hilo linahusisha mazingira ambayo sio ya shuleni.
Kesi zote za shuleni zinamalizwa na walimu na viongozi wa shule huko huko. Ukianza kuleta habari za kupelekana mahakamani kesi za shule basi tutakua na kesi nyingi mnoo huko mahakamani.
Waalimu au wazazi wanakuwa wako wapi? Sheria gani inayompa mkuu wa Wilaya hayo uliyosema?Tatizo lako umekosa hekima, hauna uwezo wa kupambanua mambo kwa harakaharaka umekariri sheria bila kuzielewa. Mkuu wa wilaya ametoa adhabu ya viboko kama mzazi. Amechukua nafasi ya mzazi kuwachapa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Pia mkuu wa wilaya amechukua nafasi ya mwalimu kutoa adhabu. Tatu adhabu za viboko shuleni ni jambo la kawaida na ni sheria mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko. Mwanafunzi adhabu zake sio za kwenda mahakamani labda kama kosa hilo linahusisha mazingira ambayo sio ya shuleni.
Kesi zote za shuleni zinamalizwa na walimu na viongozi wa shule huko huko. Ukianza kuleta habari za kupelekana mahakamani kesi za shule basi tutakua na kesi nyingi mnoo huko mahakamani.
Uliona ni halali Tundu Lissu kupigwa risasi halafu unajifanya kushangaa watu kupigwa viboko?Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi wenzetu, Tanzania ukigusa mnyama wa Hifadhi unaenda Jela sasa iwje tunachapwa viboko hovyo?
View attachment 1652173
Akili ingekuwa ni kiungo cha uzazi, WALLAH UNGEKUWA HUZAI..!!Tatizo lako umekosa hekima, hauna uwezo wa kupambanua mambo kwa harakaharaka umekariri sheria bila kuzielewa. Mkuu wa wilaya ametoa adhabu ya viboko kama mzazi. Amechukua nafasi ya mzazi kuwachapa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Pia mkuu wa wilaya amechukua nafasi ya mwalimu kutoa adhabu. Tatu adhabu za viboko shuleni ni jambo la kawaida na ni sheria mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko. Mwanafunzi adhabu zake sio za kwenda mahakamani labda kama kosa hilo linahusisha mazingira ambayo sio ya shuleni.
Kesi zote za shuleni zinamalizwa na walimu na viongozi wa shule huko huko. Ukianza kuleta habari za kupelekana mahakamani kesi za shule basi tutakua na kesi nyingi mnoo huko mahakamani.
Hii nayo kali...Uliona ni halali Tundu Lissu kupigwa risasi halafu unajifanya kushangaa watu kupigwa viboko?
Sasa wwe mbona unachanganya Madesa,Bakora na Risasi wapi na wapi!?Uliona ni halali Tundu Lissu kupigwa risasi halafu unajifanya kushangaa watu kupigwa viboko?
Hata akiua mwanafunzi mwenzake anatandikwa yanaishaTatizo lako umekosa hekima, hauna uwezo wa kupambanua mambo kwa harakaharaka umekariri sheria bila kuzielewa. Mkuu wa wilaya ametoa adhabu ya viboko kama mzazi. Amechukua nafasi ya mzazi kuwachapa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Pia mkuu wa wilaya amechukua nafasi ya mwalimu kutoa adhabu. Tatu adhabu za viboko shuleni ni jambo la kawaida na ni sheria mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko. Mwanafunzi adhabu zake sio za kwenda mahakamani labda kama kosa hilo linahusisha mazingira ambayo sio ya shuleni.
Kesi zote za shuleni zinamalizwa na walimu na viongozi wa shule huko huko. Ukianza kuleta habari za kupelekana mahakamani kesi za shule basi tutakua na kesi nyingi mnoo huko mahakamani.
Nilikuwa nashangaa hata mimiUliona ni halali Tundu Lissu kupigwa risasi halafu unajifanya kushangaa watu kupigwa viboko?
Kwahiyo bora risas kuliko vibokoSasa wwe mbona unachanganya Madesa,Bakora na Risasi wapi na wapi!?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sio wote waliochapwa ni watoto/wanafunzi wengine ni watu wazima wa chuma chakavu.Tatizo lako umekosa hekima, hauna uwezo wa kupambanua mambo kwa harakaharaka umekariri sheria bila kuzielewa. Mkuu wa wilaya ametoa adhabu ya viboko kama mzazi. Amechukua nafasi ya mzazi kuwachapa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Pia mkuu wa wilaya amechukua nafasi ya mwalimu kutoa adhabu. Tatu adhabu za viboko shuleni ni jambo la kawaida na ni sheria mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko. Mwanafunzi adhabu zake sio za kwenda mahakamani labda kama kosa hilo linahusisha mazingira ambayo sio ya shuleni.
Kesi zote za shuleni zinamalizwa na walimu na viongozi wa shule huko huko. Ukianza kuleta habari za kupelekana mahakamani kesi za shule basi tutakua na kesi nyingi mnoo huko mahakamani.
Tatizo lako umekosa hekima, hauna uwezo wa kupambanua mambo kwa harakaharaka umekariri sheria bila kuzielewa. Mkuu wa wilaya ametoa adhabu ya viboko kama mzazi. Amechukua nafasi ya mzazi kuwachapa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Pia mkuu wa wilaya amechukua nafasi ya mwalimu kutoa adhabu. Tatu adhabu za viboko shuleni ni jambo la kawaida na ni sheria mwanafunzi kuadhibiwa kwa viboko. Mwanafunzi adhabu zake sio za kwenda mahakamani labda kama kosa hilo linahusisha mazingira ambayo sio ya shuleni.
Kesi zote za shuleni zinamalizwa na walimu na viongozi wa shule huko huko. Ukianza kuleta habari za kupelekana mahakamani kesi za shule basi tutakua na kesi nyingi mnoo huko mahakamani.
Sio wote waliochapwa ni watoto/wanafunzi wengine ni watu wazima wa chuma chakavu.
Hata hivyo kuna muongozo wa wa kuchapa viboko shuleni,je aliufuata au yeye yupo juu ya sheria ?