Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu.

Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa sababu ya kuwa mwenyeji wa michezo hiyo, waziri amesema ni lazima kuwa na teknolojia itakayoondoa sintofahamu ya magoli.

=====

Pia soma:

- Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata

- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
 
Huku wasilete var maana kina tatu malogo watatunyoosha kwelikweli, alafu Kuna viwanja camera tu wameshindwa kufunga var zitafanya kazi taifa na chamazi tu au?


Maana kama Jana mechi ya playoff, ile red card na goli la penalty azam walijitahidi kurudia ila wapi hapakua na camera angle nzuri hata moja
 
Wewe unamatatizo ya macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…