Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu.
Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa sababu ya kuwa mwenyeji wa michezo hiyo, waziri amesema ni lazima kuwa na teknolojia itakayoondoa sintofahamu ya magoli.
=====
Pia soma:
- Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata
- Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025