comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mh Mwigulu nakushauri uende kuwaona wazee wawili- mzee Msuya na mzee Mtei ambao nina hakika unajua walikuwa mawaziri wa fedha kama wewe wakati ule wa shida kuliko hizi za leo- ila walisimamaia bajeti na kutoa maelezo ilipobidi. Unaendeshaje uchumi wa nchi namna hii- yaani ni unazidiwa na mama lishe?
Mh. Mwigulu kwa siku mama lishe anaweza kupambana na kupanda kwa bei ya karoti mara 3, kwa wiki samaki wanaweza kupanda mara 3 lakini hatuwaoni wnapandisha bei ya sahani za chakula- Mh. Mwigulu unafeli wapi?
Mnapanick kwa nini- sisi tuna mafuta - Kenya na katiba mpya hawana mafuta lakini wametulia shida nini?
Ninajua wanasiasa mnabakwa na wanaharakati wala si wananchi, wananchi tunaelewa, ninajua mnaogopa uchaguzi ujao- msitishike Mungu atasimama na ukweli; na kama akipenda awape mtihani wanaharakati tuone kama watakuwa na uwezo wa kuzuia mafuta kupanda; tuone kana wataweza kuendesha nchi bila kutoza kodi na tozo.