johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Panga vipaumbele bwashee.Subira wakati watu wanaumia?
Kweli mm 16 ya kuuzwa 45,000?
mm 25 itauzwa Bei gani
Utajenga baadae kama kwa sasa una mambo mengi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panga vipaumbele bwashee.Subira wakati watu wanaumia?
Kweli mm 16 ya kuuzwa 45,000?
mm 25 itauzwa Bei gani
Nondo @45,000 nina uhitaji wa nondo 56 baadae kumbe nitajamb*Nimeuliza leo nondo ya 16 mm ni 45,000 pcs 1.
Nyati cement 42.5 ni 15,000
Na viwanda vipo vingi tu.
Samia kazi unayo
What about you? Have you inherited any?[emoji28][emoji28][emoji28] blessed are the youngs for they shall inherit the national debt
Watu wepi na nani alieziweka mfukoni mwake?Hivi hawa watu huwa wanaongelea vijiji hivi vya Upangwa, Mgendela na Igwachanya au Mifukoni mwao wanaita vijijini?
Panga vipaumbele bwashee.
Utajenga baadae kama kwa sasa una mambo mengi!
Nondo @45,000 nina uhitaji wa nondo 56 baadae kumbe nitajamb*
Watu wepi na nani alieziweka mfukoni mwake?
Madarasa yaliyojengwa Tanzania nzima nzima hujayaona basi hata picha au kusikia hujasikia...
Hahahaaaa....... Zamani walitumia miti badala ya nondo!Hyo mm 16
Ni Moto kweli kweli.
Mwigulu ana wasiwasi gani wakati wanae wanasoma Feza InternationalHawa jamaa wakiwa wanaongea unaona kabisa nyuso zao zilivyojaa uongo na unafiki..
#MaendeleoHayanaChama
Ana wasiwasi na Putin!Mwigulu ana wasiwasi gani wakati wanae wanasoma Feza International
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Waziri mbovu snWaziri wa Fedha na Mipango Mh. Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha kwa wananchi hakusababishwi na tatizo la kisera wala uzembe bali unatokana na uwepo wa majanga yanayoendelea kuikumba dunia.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo vya Habari akieleza utendaji na mafanikio ya serikali ya awamu ya sita katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan.
ITV