Waziri Mwigulu: Mfumuko wa bei hausababishwi na Sera wala Uzembe. Fedha ya COVID 19 imeongeza mzunguko Vijijini na Deni la taifa ni himilivu

Waziri Mwigulu: Mfumuko wa bei hausababishwi na Sera wala Uzembe. Fedha ya COVID 19 imeongeza mzunguko Vijijini na Deni la taifa ni himilivu

Hafai kuwa waziri wa fedha. Samia hafuati ushauri kuwa kuna watu bora kuliko huyo ambao wana uwezo wa kusaidia kuibua huu uchumi unaodorola badala ya Huyu aliyekata tamaa!!

This fellow has failed as a minister for finance!!
 
Simple logic: pesa za uviko zimeongeza fedha kwenye mzunguko...
Mwigulu sio mahiri wa mambo ya uchumi!! Kusema kuwa mfumuko wa bei umesababishwa na Majanga na hela za uvico19 ni kutulisha matango pori!

Sera zenu mbovu za kusimamia uzalishaji viwandani ndio sababu ya bidhaa kama nondo na bidhaa nyingine zinazozalishwa nchini kupanda bei kiholela!!

Mwigulu kama angekuwa kweli mchumi angejua “ Price Gaoging” na hiyo ndio inachangia bidhaa kupanda bei! Na kuchangia mfumuko wa bei. Chunguzeni sera zenu hapana kuleta visingizio!
 
Tutamkumbuka sana Ndugu Magufuli. Maana Angekuwepo huu ujinga usingeusikia.

Maana hawa jamaa nikama wananufaika na Hii mifumuko ya bei kupitia Matajiri wenye viwanda.

Wajue wanazalisha tegemezi wengi Ambao wameshindwa kumudu gharama za mifumuko holela ya bidhaa.

Wamama wachoma mihogo. Wachoma chips. Na maandazi ni waathirika wakubwa sana wa janga Hili.
 
Hivi kweli kabisa saa hii anaweza akapatikana raisi mwingine akashusha hizi bei? Kwa dunia hii ya sasa?
Au ni chuki tu kwa mama?
 
Back
Top Bottom