Tutamkumbuka sana Ndugu Magufuli. Maana Angekuwepo huu ujinga usingeusikia.
Maana hawa jamaa nikama wananufaika na Hii mifumuko ya bei kupitia Matajiri wenye viwanda.
Wajue wanazalisha tegemezi wengi Ambao wameshindwa kumudu gharama za mifumuko holela ya bidhaa.
Wamama wachoma mihogo. Wachoma chips. Na maandazi ni waathirika wakubwa sana wa janga Hili.