Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine.
Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa ambazo ni takribani Tsh 30,000 kwa safari ya Dar hadi Dodoma.
===
Pia soma:
Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025