Umesema ukweli kabisa, ccm ni waongo sana!Huyo siyo wa kumuamin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema ukweli kabisa, ccm ni waongo sana!Huyo siyo wa kumuamin
Unaogopa kutetemeshwa na mwendo...Haiwezekani. Labda kama ni Morogoro.
Yaani kutoka Dar mpaka Dodoma ni masaa mawili? Come on man!
Hyo Afu 40 bus gani?Hapo hifauti ni ndogo sanaa nauli kwa basi dar hadi dodoma ni 40,000 kwa train ni 30,000 impact ni finyu sanaa.
Wabongo walivyo watatukana kwa kusema vita vya ukraine inatuhusu nini😅,Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine
Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa ambazo ni takribani Tsh 30,000 kwa safari ya Dar hadi Dodoma
Hii ni daraja la chini au , ni kama niliona taarifa mkurugenzi wa shirika la reli anasema nauli ni 100,000 au ile ni VIPnauli zimeshatangazwa ambazo ni takribani Tsh 30,000 kwa safari ya Dar hadi Dodoma
Hapana itatembea 110-140+km/h.Ni masaa sita sio mawili ni 80km per hour
Hiyo EMU ya VIP ile electric lokomotive bei ya kawaida.Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema bei za treni za mchongoko zitakuwa Tsh. 100,000 hadi...www.jamiiforums.com
Ya laki ni ya EMU,kuna EMU na electric lokomotive.Mwongo SGR Hadi Dodoma ni laki moja Kwa mujibu wa mkurugenzi wa TRC
Manne mpaka matano sio mawili.