Waziri Mwigulu: Nauli ya Dar kwenda Dodoma kwa treni ya Standard Gauge ni Takriban 30,000

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine.

Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa ambazo ni takribani Tsh 30,000 kwa safari ya Dar hadi Dodoma.

===

Pia soma:

Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa

Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
 
Vita ya Ukraime kafanya nini? Covid 19 nakubali kuzidi kuwakumbatia na Kuwalipa mishahara na marupurupu wale wabunge FEKI.
 
Dar - Dom treni hii inachukua masaa mangapi?
 
 
Latra wameweka bei wazi kwa hiyo treni.
Bei ulizoweka ni za daraja la Economy tu. Ukitaka nenda huko.
 
Mwongo SGR Hadi Dodoma ni laki moja Kwa mujibu wa mkurugenzi wa TRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…