Waziri Mwigulu Nchemba shughilika na hawa lazy customer care service

Waziri Mwigulu Nchemba shughilika na hawa lazy customer care service

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
 
Piga ya makao makuu ya Tanesco Huwa wanapokea haraka uwaambie hawapomei simu Yako hao wa Arusha
 
Kuna kipindi flani 2015 mwishoni hadi mwanzoni wa 2021 mwanzoni wafanyakazi wote waajiliwa wa serikali katika sekta zote,afya,mawasiliano,kilimo,nk walikuwa wanawajibika. hawa TRA TZ hata ukipiga akipokea,mtoa huduma ukimwambia nilikupgia nikusalimie, anasema ahsante. sasa hali ni mbaya maofsini.
 
Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
wagongee 0737782222 hapo tra chuga nimetoka ulizia ajira kwa hii namba ipo inaita kamanda
 
Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
jombaa pole sana piga hii kituo chao 0800780078 au 0800750075 kama unaona hao hawapokei
 
Back
Top Bottom