😅😅😅waziri wa kodi na TozoWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini.
Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa majibu wakati wa bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Akitoa mchango huo Sichwale alihoji kwanini Serikali isiongeze kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini ili kulinda pombe zinazozalishwa na wananchi kama Gongo, huku akiitaka Serikali kuweka utaratibu utakaowezesha kurasimisha pombe hizo.
Tutegemee dompo yangu kuuzwa 100kWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini.
Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa majibu wakati wa bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Akitoa mchango huo Sichwale alihoji kwanini Serikali isiongeze kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini ili kulinda pombe zinazozalishwa na wananchi kama Gongo, huku akiitaka Serikali kuweka utaratibu utakaowezesha kurasimisha pombe hizo.
Alijichagua kuwa Waziri? Alie mteua mbona humlaumu?[emoji28][emoji28][emoji28]waziri wa kodi na Tozo
Hizo kodi alikuwa anazi set mwenyewe? Alie mteai inaweza vipi kumuacha kwenye lawama?Mwigulu siku akitaka urais watu watamkumbusha kuhusu ongezeko la kodi ya pango, kodi ya bia, kodi ya n.k.
Conclusion; Watz hawapendi kulipa kodi ila wanataka maendeleo, kazi kwake.
TMDA wameziacha watu wazinywe we shida yako ni nini?Bwana mwigulu. Nakuita mara 3
Angalia sana hizi pombe zinazozalishwa ndani na wazawa.
Smart gin ( kisungura)
Double kik
Highlife
Kitoko
Nk
Hizi zikiachwa ziuzwe kama zilivyo sasa zitasababisha madhara makubwa kwa. Nguvu kazi ya taifa hili
Mh haya mkuuTMDA wameziacha watu wazinywe we shida yako ni nini?
Dompo siyo imported inatengenezwa hapo Dodoma tuTutegemee dompo yangu kuuzwa 100k
Watanzania tunapenda kulipa kodi sana tuu,tatizo ni kwenye usimamizi wa kodi zetu ndo maana tunarudi nyuma kwenye moyo wa kulipa kodiMwigulu siku akitaka urais watu watamkumbusha kuhusu ongezeko la kodi ya pango, kodi ya bia, kodi ya n.k.
Conclusion; Watz hawapendi kulipa kodi ila wanataka maendeleo, kazi kwake.