KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Mpango ni kukopa kwa kadri tutakavyo weza kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.Tunaenda na hesabu miezi tisa mama keshakopa trillion 8.3 hizo ni ziliotangawa mjue
DefenitryMagufuli alikopa kwa akili!
Kukopa kwa akili maana yake nini?
Magufuli alikopa halafu akawa anaturubuni kila Jambo analolifanya ni kwa pesa zetu ilihali deni la taifa linakuwa.
Kinachomgharimu mama ni uwazi si vinginevyo.
2030 bado mbali sana,sasa sijui utajinyonga.Mikopo ikipita bungeni sio Siri
Bunge ni wananchi
Wabunge wanawajibu kuwaambia wananchi serikali yao inafanya Nini
Afadhali kukopa kwa Siri kuliko kukopa kwa fujo Kisha kula Bata na kununua madawati
Watakwambia mbona magu alikopa trillion 29 hamkusema kitu!Ukitoka huo mkopo ina maana ndani ya miezi 9 tutakua tumekopa 17trilion kama deni la nje. Hio trend unaona nzuri? Magufuli alikopa kwa akili na vitu alivyofanya vimeonekana.
Sawa sasa kuwarubuni lakini matokeo ya mkopo si mliyaona? Hizo trillion 29 hamuoni mambo yaliofanyika kwa dhahiri kabisa?Magufuli alikopa kwa akili!
Kukopa kwa akili maana yake nini?
Magufuli alikopa halafu akawa anaturubuni kila Jambo analolifanya ni kwa pesa zetu ilihali deni la taifa linakuwa.
Kinachomgharimu mama ni uwazi si vinginevyo.
KunaNdani ya miezi 9 amevuka nusu ya deni la JPM la miaka 6…hili unaliongeleaje..
Hai justify ukopaji wa kupindukia anaoufany bi tozo! Hata angefanya kwa siri still isinge justify kukopa trillion 17 ndani ya miezi 10Magufuli alikopa kwa akili!
Kukopa kwa akili maana yake nini?
Magufuli alikopa halafu akawa anaturubuni kila Jambo analolifanya ni kwa pesa zetu ilihali deni la taifa linakuwa.
Kinachomgharimu mama ni uwazi si vinginevyo.
Elimu kwa taifa siyo kuzalisha?.Wenzako wanakopa ili wazalishe…wewe unakopa unawekeza kwa vitu visivyozalisha…ni sawa?!
Na makofi ya kupata huo mkopo waliyapigia nje ya Bunge au ndani ya Bunge.Lini bunge la Tz, limekuwa likipitisha mikopo?kama spika tu mwenyewe kuna wakati anashangaa,
Lini bunge la Tz, limekuwa likipitisha mikopo?kama spika tu mwenyewe kuna wakati anashangaa,
Alafu tunaambiwa ni mikopo 'nafuu' huu ni upumbavu, tumekuwa taifa lenye kujisifia kwa kukopa hovyo, Mpaka huyu mama amalize Muhula wake hii nchi kuna vitu vingi tu vitakuwa vimewekwa rehani. Hayo Masharti nafuu ndio yale ya kuambiwa Ruhusuni Mapenzi ya Jinsia moja, Inasikitisha sana kudhalilisha utu wetu kisa Mikopo na Demokrasia hewa.Hai justify ukopaji wa kupindukia anaoufany bi tozo! Hata angefanya kwa siri still isinge justify kukopa trillion 17 ndani ya miezi 10
Sio kweli unachoongea tunataka kujua huo mkopo ni wa nini? Au ni wa kununua madawati maalum ya akina mama wanaonyonyesha?Hakuna asiekopa,ila kwa sasa habari za selikari zinazungumziwa zaid kuliko kipindi cha awamu iliopita,hii ni kwa sababu uhuru wa kuzungumza umekuwa huru sana,tofauti na hapo awali
Umezungumzia mchina kujenga reli ndefu sana ni jambo jema sana, lakini ni lazima tukope? Kwanini tusifikirie hata kuingia ubia? Kwa maana ya Public Private Partnership?tujiongeze kidogoWakati washindani wa Tanzania kwenye biashara ya Logistics wakikopa kwa njia ya ku engage China Ili wajenge reli na miundombinu mingine ,huku Tanzania kuna Watu wenye akili mdogo hawataki.
Hata Kodi kulipa hawataki sasa unajiuliza Labda watapata maendeleo kwa kushushiwa na mvua.Ni hatari Sana kuwa na Nchi yenye Watu wenye akili kiduchu na mdomo mkubwa kama Tzn.
Matunda ya Ziara ya Foreign Minister wa China Kwenye baadhi ya Nchi za Africa.China imepanga kujenga reli ya sgr kutoka mpakani mwa Kenya/Uganda hadi Rwanda na DRC.
Kutoka Djibouti hadi Ethiopia ndani kabisaa.Watatumia model ya Belt and Road Initiative.
Ngoja Tzn tuendelee kujivuta na kubishana ujinga.
View attachment 2077682
View attachment 2077683
View attachment 2077684
Hahahhahaha ndio kitafata mtaambiwa mlane viboga kimasiharaAlafu tunaambiwa ni mikopo 'nafuu' huu ni upumbavu, tumekuwa taifa lenye kujisifia kwa kukopa hovyo, Mpaka huyu mama amalize Muhula wake hii nchi kuna vitu vingi tu vitakuwa vimewekwa rehani. Hayo Masharti nafuu ndio yale ya kuambiwa Ruhusuni Mapenzi ya Jinsia moja, Inasikitisha sana kudhalilisha utu wetu kisa Mikopo na Demokrasia hewa.
😅😅😅😅😅😅😅Sio kweli unachoongea tunataka kujua huo mkopo ni wa nini? Au ni wa kununua madawati maalum ya akina mama wanaonyonyesha?
Hilo wazo ndio haliwezekani kabisaa kwa nature ya Watanzania,kwa sababu terms zake unaweza ambiwa Nchi imeuzwa.Umezungumzia mchina kujenga reli ndefu sana ni jambo jema sana, lakini ni lazima tukope? Kwanini tusifikirie hata kuingia ubia? Kwa maana ya Public Private Partnership?tujiongeze kidogo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Muslim's culture is different from Christian's culture.
Ujinga wa kuendekeza mavitu na kuwaacha raia hoi bin taaban siyo sera yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela uliyo andika labda useme ni mkopo wa magu kwa miaka 5Magufuli alikopa zaidi ya trillion 15 ndani ya mwaka mmoja?
Hao ni wazanzibar ndiyo wanao shangilia mikopo wakidhani wanakomoa bara ,kwa sababu asilimia kubwa mama anapeleka pesa huko ilq deni linapaswa kulipwa na serikali ya muunganoHakuna aliekopa 15trln ndani ya mwaka mmoja,
Tafuteni taarifa kwanza kabla yakupost humu,ndio maana kwakua sasa ni wakati wa likizo huwa nahisi watoto mko nyumbani.