Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Jan 14, 2022 #261 Nsennah said: Hakuacha pesa ya miradi hiyo, huyu alikuta inaendelea ama imesimama sababu hakuna hela?! Kama ilikuwa ikiendelea, Walikuwa wanaendelea bila pesa?? Fikiri kabla ya kusemasema. Click to expand... Mradi wa njia 8 ulikuwa umefika kama 92 lakini mpaka sasa unasuasua tu Sent using Jamii Forums mobile app
Nsennah said: Hakuacha pesa ya miradi hiyo, huyu alikuta inaendelea ama imesimama sababu hakuna hela?! Kama ilikuwa ikiendelea, Walikuwa wanaendelea bila pesa?? Fikiri kabla ya kusemasema. Click to expand... Mradi wa njia 8 ulikuwa umefika kama 92 lakini mpaka sasa unasuasua tu Sent using Jamii Forums mobile app
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Jan 14, 2022 #262 Siku tukipata KATIBA MPYA, serikali ya Muungano itaachiwa rundo la madeni.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 14, 2022 #263 Trilioni 7 za kujipimia🤡🤡🤡 Your browser is not able to display this video.
Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,186 Reaction score 1,966 Jan 14, 2022 #264 Hapo patamu. Na hakuna mwananchi atakayelipa. Imeisha hiyo
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,307 Reaction score 2,754 Jan 14, 2022 #265 Ndiyo yale mtake misitake tatanunua tu ndege,, hata kama mtakula nyasiiii,,
O OZAN KABAK Member Joined Dec 18, 2021 Posts 73 Reaction score 72 Jan 14, 2022 #266 amesema ni Soft loan as kwamba CCM ndiyo watalipa ilo deni.
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 14,830 Reaction score 14,472 Jan 14, 2022 #267 zithromax said: Kitu gani ni cha maana cha kuelewa ulichopost Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Rejea nilivyosema, siyo kila kitu ni kwa kila mtu
zithromax said: Kitu gani ni cha maana cha kuelewa ulichopost Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Rejea nilivyosema, siyo kila kitu ni kwa kila mtu