KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Mh Waziri,
Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti
Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund..
Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za kutoa na kuweka katika mitandao ya simu.,au wengine mliisikia hii?
Sikiliza huu utetezi wa Mh Waziri hapa chini
Unaleta picha kuwa kiasi ni kidogo sana kwa mwezi na ni kwenye vocha na sio miamala kama hii mikeka iliyotoka
Aliesikia ni makato ya miamala kila siku aje na ushahidi tafadhali mana
Mikeka iliyotoka sio siri mhhh.
Naona umma haukuandaliwa kisaikolojia.
Na viwango viko juu sana(tena per transaction,sio hata mwezi)) tofauti na hotuba yako hapo juu.,
Nashauri irejewe.
Imagine kwa siku unataka kutumia watu 5 elfu 50 kila mtu, gharama za tuma na ya kutolea.
Mfano tu...
Uzi tayari