Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

mataga pori pungozo la bei ya bia liliwafanya mkakenua kama ngiri maji leo mnalia na kusaga meno kwenye miamala kama raiya wengine tu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Bavicha kaa kwa kutulia, kodi hiyo tunataka hela sisi
 
mataga pori mlidhani kodi kandamizi mnawakomoa wapinzani tu kumbe inatwanga kuanzia chato hadi Lumumba mnalia kama vifaranga wenye mdondo 🤣 🤣 🤣
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa JF👇

Uzi wa bajeti ulikuwa na replies 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replies elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replies 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
Hahaha
 
Kwamba replies za uzi wa bajeti zingekuwa laki moja, bunge lisingepitisha huu wizi?

Kwamba bunge lingezingatia replies za JF ili kufanya maamuzi???

Hizi shule siku hizi watoto mnaenda kujifunza nini?
 
Kwa maneno mengin, mchumi Mwigulu ana promote utembeaji wa watu with cash; mambo ya kizamani kabisa.
 
Tuvumilie tax base ni ndogo,Suluhu ni kuwafikia wengi kwa indirect taxes.
Ni kweli kwa miaka mingi wabebaji wakubwa wa direct tax walikuwa watumishi wa umma except wabunge pia wafanyabiashara ila kwa sasa ni kwa kila mtu licha ya kwamba hayo makundi mawili yenyewe yatakuwa taxed twice mfano mtumishi atalipa PAYE na hizo zinazoitwa kodi za uzalendo
 
Nimeanza kwa vitendo,hii pesa nimeenda kuitoa kwenye ATM cost yake 4,180/= wakati kuna kikundi cha wendawazimu wahuni kilikaa matumbo yamewajaa kikabuni plan kwamba kwa kiasi hiki cha pesa nikakitoe kwa ada Tsh 15,200/=

Watasubiri sana!
View attachment 1854929
 
Attachments

  • IMG_20210715_165938.jpg
    IMG_20210715_165938.jpg
    52.6 KB · Views: 1
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa JF👇

Uzi wa bajeti ulikuwa na replies 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replies elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replies 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu

Watasema hawapendi siasa
 
umetumia lugha rahisi sana kuwachambua watanzania. mi kila nikiandika nafuta! kuna namna sensors zetu za kufikiri hazifanyi kaz vizuri! wakulaumiwa ni lukuki ikiwemo media, taasisi za haki za kiraia, (wabunge tuwaache na sabab tunazijua huwez kuokoteza ubunge ukawa na machungu). KODI IKATWE LAKIN .......REASONABLE CAUSE AND RATE
 
Back
Top Bottom