Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

Ni yeye, kwani huoni hilo jina lake highlighted ??!---- swali ni je atakuja kujibu??
Hata asipojibu
Basi walau ujumbe aupate...

ama wahusika TRA,Wizara ya Fedha nk

warejee upya hii tozo
 
Mikeka mipya sio masihara [emoji28] wazee ni wakati wa kukabidhiana hela kwa mikono
Jana mida ya SAA 5:30 usiku nikaona kimeseji chao kinanitaharifu makato yanaanza Leo.nailichofanya ni kununua umeme wa kutosha miezi 3 na nikalipia bill ya maji nikalipa na madeni kwa watu waliombali ambao Leo nilitakiwa niwatie.
 
Tulikubaliana kwamba Mama karudisha furaha kwenye mioyo ya wananchi,sasa mbona tunaendelea kulilia kila baya lilikuwa la Mwendazake hivyo nikadhani kufa kwake kutaondoa haya yote.
 
Watanzania tunachojua tu ni Kujadili Mambo ya akina Diamond, Mzee Mpili na Ushirikina mkubwa unaoendelea sasa Mkoani Kigoma kuelekea Fainali ya TFF ASFC kati ya Simba na Yanga ila Vitu vyenye Tija Kwetu kama Taifa na Nchi wala hatuna navyo muda.

Acha tu Serikali itukomeshe ili tukome!!!
Piga kelele lakini watanzania Ni wajinga kuanzia viongozi hadi raia wake. Na maviongozi ndiyo majinga namba moja yanachojua ni ulaghai tu na kuchota pesa kutoka wa wananchi Ila siyo kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi kila mwaka Ni kimuumiza mlaji wa mwisho tu.
 
Kuna Siku niliwahi kuanzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema hakuna Watu 'Wanafiki' na huenda wakawa na 'Doctorate' ya 'Unafiki' huo kama Watanzania wachache sana walinielewa, ila wengi walinibishia mpaka Kunidhihaki sasa nadhani taratibu tu tutaelewana Kudadadeki.
Nawewe popoma ukiwa mmoja wao.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]

Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
I love this, na sasa tuko na gali ya Mondi
 
Mh Waziri,

Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti
Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund..

Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za kutoa na kuweka katika mitandao ya simu.,au wengine mliisikia hii?
Sikiliza huu utetezi wa Mh Waziri hapa chini
Unaleta picha kuwa kiasi ni kidogo sana kwa mwezi na ni kwenye vocha na sio miamala kama hii mikeka iliyotoka

Aliesikia ni makato ya miamala kila siku aje na ushahidi tafadhali mana

Mikeka iliyotoka sio siri mhhh.

Naona umma haukuandaliwa kisaikolojia.
Na viwango viko juu sana(tena per transaction,sio hata mwezi)) tofauti na hotuba yako hapo juu.,

Nashauri irejewe.

Imagine kwa siku unataka kutumia watu 5 elfu 50 kila mtu, gharama za tuma na ya kutolea.

Mfano tu...

Uzi tayari
Mnyiramba Na waizara ya fedha wapi na wapi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]

Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
Mkuu upo sahihi.

Jeuri na upuuzi vinashabikiwa kuliko mambo muhimu
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]

Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
We naye na Sabaya wako huchokagi tu. Kamsalimie jambazi mwenzio kisongo.
 
Mzee baba hakuna kitu kizuri kama kulipa kodi. Wakati wafanyabiashara wanazinguliwa watu walisema wanakwepa kodi. Biashara zimedoda tunatakiwa wote tuchangie kodi tunaanza kulialia
Tulipe kodi ili wabunge walipwe mishahara na zinazobaki walipe maendeleo
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Jana mida ya SAA 5:30 usiku nikaona kimeseji chao kinanitaharifu makato yanaanza Leo.nailichofanya ni kununua umeme wa kutosha miezi 3 na nikalipia bill ya maji nikalipa na madeni kwa watu waliombali ambao Leo nilitakiwa niwatie.
Miezi mi3 haitaisha sio?.

naona bado sio suluhu
Bali kuahirisha tu tatizo
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]

Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
Kwa hiyo replies zingekua nyingi zingesaidia bungeni kubadilisha huo mswada?
 
Back
Top Bottom