barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mama aendelee kuupiga mwingi tu...Tulionya humu tukaitwa mataga, mara sukuma gang!
Tena wakome kabisa wasitupigie kelele walipe hizo kodi tena nashauri ziongezeke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama aendelee kuupiga mwingi tu...Tulionya humu tukaitwa mataga, mara sukuma gang!
Tena wakome kabisa wasitupigie kelele walipe hizo kodi tena nashauri ziongezeke.
Damn! You are back again, jooo...as your name!BAK lots of your comments you always seem to align with samia's regime. Yet you are complaining about the taxation policy set by mwigulu and his gang. Where do you stand?? Only JPM was the rael deal, now you've got no choice than paying the cost of denouncing jpm.Tuna Bunge DHAIFU ambalo halijui wajibu wake. Wao wanadhani Bunge ni kitengo kingine cha maccm badala ya kuwa kuwa wawakilishi wa Watanzania katika kero zetu mbali mbali na kuisimamia Serikali kuhusu pia wizi, ufisadi na ubadhirifu.
Wale ni wawakilishi wa Magufuli na sio wawakilishi wa wananchi,wote wale walipita bila kupingwa.Tuna Bunge DHAIFU ambalo halijui wajibu wake. Wao wanadhani Bunge ni kitengo kingine cha maccm badala ya kuwa kuwa wawakilishi wa Watanzania katika kero zetu mbali mbali na kuisimamia Serikali kuhusu pia wizi, ufisadi na ubadhirifu.
Huyu ni mzigo sijui kwann anabakia uwezo wake wa fikra ni SAwa na kingwangala Ina maana nchi nzima hatuna wasomi wa kushika nafasi ile.mama hapa kachemka hizi toxin za jiwe zilifaa zikae bench hazina creative thinking.Tukihoji juu ya PhD zao humu jamvini tunakashfiwa na kutukanwa mara kwa mara.
Acheni tukinywee kikombe.
Akipata ajali imekula kwakoNina ka 1M kangu,namwita boda boda nakafunga kama ka parcel tu kwenye bahasha,then nampa ampelekee Mshikaji wangu pale Mwenge from Tegeta kwa Tshs 10,000 na siko kutuma kwenye simu kwa gharama ya Tsh 31,000
Na ndio hapo kuna muda upinzani unaona hamnazo.Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]
Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90...
VAT ilikwishawekwa, bado unaweka kodi nyingine kwenye huduma ile ile. Huu ni wizi wa Serikali dhidi ya wananchi.Tuvumilie tax base ni ndogo,Suluhu ni kuwafikia wengi kwa indirect taxes.
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]
Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90
Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi
Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.
Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
Kwani wewe hutalipa?Sasa nenda kalipe hiyo kodi kwa moyo mweupe maana wakati wanawasilisha bajeti wewe ulikuwa busy kufurahia kinvsa Sabaya kukamatwa.
Masitupigie kelele kabisa. Lipeni kodi
We si hutakatwaWakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]
Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90
Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi
Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.
Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu