Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

Nashauri kila hela anayolipwa Mbunge ikatwe 3% Withholiding Tax , kama "LOCAL FUNDIS" wanavyokatwa baada ya kufanya kazi kwenye miradi ya Serikaki.

Serikali itakusanya pesa nyingi kwa ajili ya miradi ya kimkakati.
Mlikuwa wapi Kushauri hili ( haya ) Kitambo tu? Watanzania tuna Unafiki mwingi mno halafu ni wepesi wa Kukurupuka Kulalamika ila ni wazuri wa Kusahau upesi na kurukia katika Jambo lingine hata kama lililopo ni la Muhimu na bado halijapatiwa Ufumbuzi.
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]

Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
Wewe na wapuuzi wenzio waimba mapambio ya uccm hakuna hata Uzi mmoja mliochangia. Acheni upambe maana hakuna la maana mnalokosoa kama walivyo Wabunge wenu.
 
Mama Yako na wadogo zako Kijiji ni wanahusikaje na mambo ya dimondi na jambazi sabaya ilu kuhalalisha unyonyaji huu
 
Kwani na wewe si mjinga tu! tulishakwambia ccm hawana mbinu za kutawala, zaidi ya
kukandamiza wananchi!!
 
Tuna Bunge DHAIFU ambalo halijui wajibu wake. Wao wanadhani Bunge ni kitengo kingine cha maccm badala ya kuwa kuwa wawakilishi wa Watanzania katika kero zetu mbali mbali na kuisimamia Serikali kuhusu pia wizi, ufisadi na ubadhirifu.
Hatujawahi kuwa na bunge Bali genge LA wana CCM wasio na maono zaidi ya matumbo yao
 
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi kule bungeni mambo yalikuwa hivi hapa jf [emoji116]

Uzi wa bajeti ulikuwa na replays 90

Uzi wa Sabaya ulikuwa na replays elfu 1 na zaidi

Uzi wa kusaini petition ya kumtoa Mondi kwenye tuzo za bet ulikuwa na replays 800 na zaidi.

Kuleni upumbavu wenu. Najua na hili mtapiga kelele siku 2 hizi alafu mtarudi kwenye ujinga wenu
Wewe ni mpumbavu sana kama hicho kikundi chenu huko Dodoma, hivi JF ndio bunge kumbe? Hivi ile kauli ya Ndugai kwa hao wicked wa CCM umeisahau?
 
Tuchukulie huo uzi wa bajeti ungekuwa na replies 2,0000 nini kingebadalika?
 
Wewe ni mpumbavu sana kama hicho kikundi chenu huko Dodoma, hivi JF ndio bunge kumbe? Hivi ile kauli ya Ndugai kwa hao wicked wa CCM umeisahau?
Sasa mnatokwa mapovu ya nini?

Si umeona wenzenu wasouth walivyokinukisha mtaani?

Watu wanasoma bajeti na mnaambiwa kabisa hiki na hiki tunapandisha kodi nyie mko kimya badala yake mkawa mko busy kushadadia mambo ya kipumbavu kabisa kama si utaahira ni nini?

Haya huyo diamond mliekuwa mko busy kumdiss ndio huyo karudi na gari la bilion na ushee huku nyie mkipiga miayo na kulalama kwa ajili ya kodi isiyozidi elfu 5,

Acheni kutupigia makelele saa hii kanakwamba hamkuambiwa aisee.
 
Kwani na wewe si mjinga tu! tulishakwambia ccm hawana mbinu za kutawala, zaidi ya
kukandamiza wananchi!!
Sasa wakati wanasilisha bajeti ya kukukandamiza si ukikuwa busy na ujinga wako?

Tulia sindano iwaingie vizuri wapuuzi nyie
 
Mama Yako na wadogo zako Kijiji ni wanahusikaje na mambo ya dimondi na jambazi sabaya ilu kuhalalisha unyonyaji huu
Sasa nenda kalipe hiyo kodi kwa moyo mweupe maana wakati wanawasilisha bajeti wewe ulikuwa busy kufurahia kinvsa Sabaya kukamatwa.

Masitupigie kelele kabisa. Lipeni kodi
 
Wewe na wapuuzi wenzio waimba mapambio ya uccm hakuna hata Uzi mmoja mliochangia. Acheni upambe maana hakuna la maana mnalokosoa kama walivyo Wabunge wenu.
Sasa tulieni sindano ziwapenye vizuri.
 
Watanzania tumelogwa. Mawaziri wetu hufanyakazi kwa kufuata msimamo wa aliye juu. Ndiyo maana maamuzi ya waziri wa afya kuhusu Covid awamu iliyopita Leo ni tafauti, lakini sisi tunamtupia lawama waziri na kumwacha anayewatuma akirilaksi. Tukimlaumu muhusika ataelemewa na mzigo lakini kwa kuwa mizigo yake tunawatwisha wengine kamwe hatajutia maamuzi yake.
 
Waziri, Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti
Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya solidarity fund..

Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za kutoa na kuweka katika mitandao ya simu.,au wengine mliisikia hii?

Mikeka iliyotoka sio siri mhhh.
Naona umma haukuandaliwa kisaikolojia.

Nashauri irejewe.

Imagine kwa siku unataka kutumia watu 5 elfu 50 kila mtu, gharama za tuma na ya kutolea.

Mfano tu...
Mama anaupiga mwingi sana. Unapowarembulia walipa kodi ndio inasababisha wasilipe kodi matokeo yake unaanza lazimisha vyanzo vingine vya kujazia ambapo walipa kodi wakubwa wamekwepa....
Aendelee kuupiga mwingi
 
Pambaneni....

Waliobariki uchafu wa 2020 ndio wanaulipia! Eti tumeendesha uchaguzi kwa pesa za ndani...

By the way hatuna mahali pa kuwabana wabunge hawa wa "kuteuliwa" ambao wapo 95% ! Wengi hawakuchaguliwa hata boss wao aliwahi kukiri hivyo
 
...elimu,elimu,elimu... Nimemkumbuka mzee ma -mvi, kampeni 2015
 
Mama anaupiga mwingi sana. Unapowarembulia walipa kodi ndio inasababisha wasilipe kodi matokeo yake unaanza lazimisha vyanzo vingine vya kujazia ambapo walipa kodi wakubwa wamekwepa....
Aendelee kuupiga mwingi
Tulionya humu tukaitwa mataga, mara sukuma gang!

Tena wakome kabisa wasitupigie kelele walipe hizo kodi tena nashauri ziongezeke.
 
Back
Top Bottom