Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

Magari ya Watumishi wa Serikali wanaostahili kukopeshwa Lazima yatakuwa na Bei ya chini kutokana na ukweli magari hayo yanauzwa na Serikali yenyewe

Pili, Magari hayo yatatumiwa na Watumishi kwenye Shughuli za kila siku za Serikali

Sidhani kama Magari hayo yana kodi

Hivyo usidhani V8 ya tsh 400mil na mkopo wake utasomeka hivyo, yawezekana kabisa ikawa chini ya tsh 50mil

Jumaa Mubarak 😀
Kwahiyo hapa kwetu kila mfanyakazi anaona mavieite ya Polepole ndio magari double cabin sio gari 🙄🙄!!

Nilimsikia Jamaa mmoja akisema hayo mavieite ni sawa na mini bus 🚌 sijui kwanini watu wanayapapatikia 😅😅🙏
 
Yana hadhi
 
Hakuna mtumishi wa wilayani mwenye uwezo wa kuhudumia harrier sembuse kruza?

Yaani kwenye mbio za mwenge niingize kruza langu kufukuzana kukagua njua ya mwenge.? Never
Watumishi wa wilayani wengi wao magari kama harrier humiliki wakiwa wameshajizeekea baada ya kupata maburungutu ya kustaafu. Bahati mbaya sana kwa sasa wamepigwa za uso na kikokoto. Ni maumivu.
 
Magari ya Watumishi wa Serikali wanaostahili kukopeshwa Lazima yatakuwa na Bei ya chini kutokana na ukweli magari hayo yanauzwa na Serikali yenyewe

Pili, Magari hayo yatatumiwa na Watumishi kwenye Shughuli za kila siku za Serikali

Sidhani kama Magari hayo yana kodi

Hivyo usidhani V8 ya tsh 400mil na mkopo wake utasomeka hivyo, yawezekana kabisa ikawa chini ya tsh 50mil

Jumaa Mubarak 😀
Hapa watajiuzia kwa bei ya chini baadae mtu ana staafu au anafariki sijui anayekuja tena wanamkopesha na hizi teuzi na tengua za kila siku, mtu anateuliwa miezi 2 anatenguliwa mara ana hamishwa sijui atahama na hilo gari au ataliacha ofisi A na yeye yupo B.
 
Kama huna taarifa za kutosha juu ya habari fulani,kwa nini unapata kihele Hele cha kuielezea.
Umeandika kama mtoto wa chekechea
 
Hakuna mtumishi wa wilayani mwenye uwezo wa kuhudumia harrier sembuse kruza?

Yaani kwenye mbio za mwenge niingize kruza langu kufukuzana kukagua njua ya mwenge.? Never
Bora kukimbiza mwenge kuliko kukimbiza moto
 
Hapo ndio tatizo
Hilo ni chaka la kuibia wananchi wala hakuna nia njema hata kidogo, kwanini kusiwe na usafiri wa poor? mfano ofisi ya DED kukawa na magari 3 tu ya poor, mengine hazina wanatoa mikopo ya magari mtu akipewa fedha(mkopo wa gari) asidai usafiri ofisini anunue mwenyewe. Mkopo wa hazina wa magari kwa watumishi wa umma hauna riba.
 
Wabunge wakiwa kamatini wanapanda Shabiby 😂
 
Hakuna mtumishi wa wilayani mwenye uwezo wa kuhudumia harrier sembuse kruza?

Yaani kwenye mbio za mwenge niingize kruza langu kufukuzana kukagua njua ya mwenge.? Never
Mbona unawadhalilisha?
 
Hii ni serikali ya ufujaji wa hela za umma chochote wanachofanya wananchi atushangai tena.

Juzi Bashe katuambia serikali imefuta deni la tsh 20 billion, kisa ukopeshaji holela wa ruzuku ya mbolea. Wapi umeona mtu anakopesha watu bila ya kutaka kujua hela yake inarudi vipi.

Kutoa mikopo bila kujua hela inarudi vipi ni kujiingiza kwenye biashara ya hasara toka mwanzo.

Ndio kama wazimu wa Mwigulu unakopesha watu magari mapya walipe sh ngapi kwa mwezi.

Kumbuka kwa sasa gari ni benefit in kinds ambazo hazipo kwenye mshahara na linagharamiwa na serikali.

Utakapo mkopesha mtu gari kwa shughuli za serikali inabidi umpe vilevile na allowance ya mafuta, car services na umuongezee mshahara ili aweze mudu malipo ya hilo gari. Vinginevyo ni ujinga kukopa gari ambalo ni stahiki yako halafu uanze kulilipia kwa mshahara wako.

Ujinga zaidi serikali inakadiria hayo magari yanatakiwa kuwa imara kwa miaka mingapi, currently wao wenyewe wanabadili magari kila baada ya miaka mitano; unadhani in 5 years huyo mtu mtumishi atakuwa kamaliza deni la landcruiser kwa mshahara wa tsh 3 million kwa mwezi.

Akikwambia gari limearibika ina maana anaruhusa ya kukosa kwenda kwenye shughuli za serikali au unampatia gari lingine na hilo lake utamtengenezea.

Wamejaza vijana wajinga watupu huko mawizarani. Ni ufujaji wa hela tu; wakiamua kufanya hivyo sio muda mrefu utasikia serikali inarudi kununua na kumiliki magari yenyewe; by that time almost a trillion shilling has been flushed down the drain.
 
Wakati wa Nyerere tulifanya hivyo, ndio sababu Watumishi wa Serikali waliishi kama familia moja 😄
Ndiyo wanavyoishi Ulaya, Marekani hata Zambia hawana huu upumbavu kama wa kwetu, DED na DC wanaenda kikao kimoja Dodoma (TAMISEMI) kwanini wasitumie gari moja na wote ni watumishi wa umma? lakini kila mtu ataenda na gari lake utadhani ni maadui. Matumizi mabaya ya fedha za umma.
 
Back
Top Bottom