Pre GE2025 Waziri Mwigulu: Wanasiasa waliofilisika wanatafuta uhalali wa kisiasa kwa ubaguzi ni hatari na wa hovyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali ianze kushughulika na majizi yanayotajwa kwenye ripoti za CAG kwanza halafu ndio waende kukusanya kodi kwa wananchi.

Nani atalipa kodi halafu anaona zinatumika ndivyo sivyo,?
Hayo majizi ni kazi ndogo na hayana madhara kushinda wanapotaka kuvunja Amani na tunu ya Taifa.

Kimsingi wanatakiwa wawe ndani
 
β€œThe ideas of economists and political philosophers, both when they are right and when they are wrong, are more powerful than is commonly understood.” – John Maynard Keynes
 
Kwa TZ tulivyo tutamwona wa maana sana badala ya kujiuliza maswali muhimu. Kwa nn kuna katiba mbili . Kwa nini kuna wizara inashughulikia kero za muungano. Kwa nini tuna nyimbo mbili tofauti za taifa moja.Nje ya hapo ni uchawa tuuu.
Wananchi wa leo siyo wa mwaka 47. Hata tusiosoma maisha yametufanya tuwe Ngoma droo na wasomi. Mwigulu mwigulu
 
Hiyo ndio shida ya watawala wa ccm badala ya kujibu hoja wanatoa vitisho kila mwenye akili timamu anajua kabisa muungano uchwara wa Tanganyika na zanzibar ni muungano wa hovyo kabisa kuwahi kutokea tangu dunia ilipo umbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…