johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtanikumbuka 😂Mwambieni aendelee kuropoka ataona moto
Kwa Mema si mabaya 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanikumbuka 😂Mwambieni aendelee kuropoka ataona moto
Serikali ianze kushughulika na majizi yanayotajwa kwenye ripoti za CAG kwanza halafu ndio waende kukusanya kodi kwa wananchi.Nimeona naangalia ujinga tupu, hakuna sehemu ya kubana matumizi ya hovyo ya serikali hata kidogo
Serikali ina matumizi ya hovyo kabisa kupita kiasiSerikali ianze kushughulika na majizi yanayotajwa kwenye ripoti za CAG kwanza halafu ndio waende kukusanya kodi kwa wananchi.
Nani atalipa kodi halafu anaona zinatumika ndivyo sivyo,?
Kama yapi?Serikali ina matumizi ya hovyo kabisa kupita kiasi
Hayo majizi ni kazi ndogo na hayana madhara kushinda wanapotaka kuvunja Amani na tunu ya Taifa.Serikali ianze kushughulika na majizi yanayotajwa kwenye ripoti za CAG kwanza halafu ndio waende kukusanya kodi kwa wananchi.
Nani atalipa kodi halafu anaona zinatumika ndivyo sivyo,?
Acha ujinga,asiyesahaulika na nani??Mtanikumbuka 😂😂😂😂
RIP Shujaa Usiyesahaulika JPM
Majizi ni kazi ndogo?Hayo majizi ni kazi ndogo na hayana madhara kushinda wanapotaka kuvunja Amani na tunu ya Taifa.
Kimsingi wanatakiwa wawe ndani
Punguza vitisho.Mwambieni aendelee kuropoka ataona moto
Wananchi wa leo siyo wa mwaka 47. Hata tusiosoma maisha yametufanya tuwe Ngoma droo na wasomi. Mwigulu mwiguluKwa TZ tulivyo tutamwona wa maana sana badala ya kujiuliza maswali muhimu. Kwa nn kuna katiba mbili . Kwa nini kuna wizara inashughulikia kero za muungano. Kwa nini tuna nyimbo mbili tofauti za taifa moja.Nje ya hapo ni uchawa tuuu.
Mnawaza kutumia mabavu.How? Utaswekwa ndani ukome
Kujaza wasanii wanaoenda kuchat wakati wa vikao Kama Korea. Unajaza wajumbe 30 na mwenyeji wajumbe wanne. Not serious.Kama yapi?
Hawajaenda kuchat Bali walienda kukutanishwa na wasanii wenzao ambao wameendekea sana kwenye sekta ya filamu ambazo wewe ni mteja wao(filamu za kikorea).Kujaza wasanii wanaoenda kuchat wakati wa vikao Kama Korea. Unajaza wajumbe 30 na mwenyeji wajumbe wanne. Not serious.
Mtu yeyote anaehatarisha mshikamano wa Kitaifa lazima ashughulikiwe.Mnawaza kutumia mabavu.
Wewe umeona ni maswali mepesi?Hayo ndio maswali muhimu? Ndio utaratibu wa makubaliano ya Muungano.
Unataka tugombane ndio tuwe wajanja? Ili kesho tuanze tena ukanda,ukabila na upuuzi mwingine?