Waziri na Bodi ya Nishati mlianza kwa kutupiga Tshs bilioni 65 kwa kufunga rada wakati hakuna umeme wa uhakika

Matumizi mabaya ya pesa za umma(wizi) mchana kweupe, bila aibu nisawa na kufunga 'car track' king'amuzi cha kuangalia gali likowapi, kwenye magali yasiyotembea, ambayo unajua yakowapi 'well defined as daylight robbery'
 
Mimi naona hapa watu wana visa personal na Bwana Makamba,maana haiwezekani threads kila siku mjadala ni yeye, kwani wizara zingine vipi hazina issue za kujadiliwa?

Roho mbaya ni stage ya awali ya uchawi.
Acha watu waseme na wewe jitahidi kumtetea,
Utanzaje kuingia mkatba wa ufnisi wakati umeme unasuasua, hizo stelite zitakua zinafanya kazi gani kama kila siku giza?
 
Acha watu waseme na wewe jitahidi kumtetea,
Utanzaje kuingia mkatba wa ufnisi wakati umeme unasuasua, hizo stelite zitakua zinafanya kazi gani kama kila siku giza?
Ajabu hawataki tuseme ,lazima watakuwa wanufaika
 
Mtahangaika Sana Sukuma gang Ila MWISHO WA siku hamtafanikiwa ha ha ha ha.Naona mmeshikwa pabaya mnamtafuta JM kila kona.
 
Mtahangaika Sana Sukuma gang Ila MWISHO WA siku hamtafanikiwa ha ha ha ha.Naona mmeshikwa pabaya mnamtafuta JM kila kona.
Wanaimani ya kuangusha milima
 
Mnamlaumu mbwa badala ya mfuga mbwa

Wanaogopa kusema Raisi Samia ni Fisadi, unganisheni doti alifwata nini Misri ? Na aliporudi ukame ukatangazwa, kwa kifupi alienda kusitisha mradi wa Stiegler na kumlipa Mwarabu asishitaki.

Kwa kifupi mradi wa Stiegler umeshakufa na aliyeumaliza kwa makusudi ni Raisi wa nchi, …
 
Mfuga mbwa anamjua mbwa wake vizuri kama mbwa mwizi anauliwa.ukiona mwenye mbwa yuko kimya ujue katumwa
Haaaa mwenye mbwa kawajua mbwa wanaonusa mbege badala ya wanyama
 
Aibu sana kwa Taifa Zima
 
Kuna ukweli flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…