Waziri na Bodi ya Nishati mlianza kwa kutupiga Tshs bilioni 65 kwa kufunga rada wakati hakuna umeme wa uhakika

Waziri na Bodi ya Nishati mlianza kwa kutupiga Tshs bilioni 65 kwa kufunga rada wakati hakuna umeme wa uhakika

Mtahangaika Sana Sukuma gang Ila MWISHO WA siku hamtafanikiwa ha ha ha ha.Naona mmeshikwa pabaya mnamtafuta JM kila kona.
Unajua h akili zenu zinaonyesha ni kiasi gani wazazi wenu walistahili kupiga nyeto kulko wewe kuzaliwa, Taifa limekula hasara tu
 
Huyu mama asiependa kufikiria anajitakia haya majanga, halafu anajidai mjuaji hataki kukubali amekosea.
Kumbuka amefanya kazi na mtu asiyekubali kukosolewa au kushauriwa.
 
Sisi wapinzani tuliyasema haya kitambo lkn tukaishia kubezwa na chawa wa ccm.
Wewe ni mpinzani au mchumia tumbo ?,hata hivyo mchango wako ni muhimu kwa ujenzi wa taifa
 
Wewe ni mpinzani au mchumia tumbo ?,hata hivyo mchango wako ni muhimu kwa ujenzi wa taifa
Tanzania hii ni wapinzani tu ndiyo wazareendooo tu wengine ni wachumia tumbo.

Au naongopa ndugu zangu?
 
Hivi katika hali ya kawaida kuna mwananchi anaweza kusimama na kuanza kumtukana rais wa nchi?
Hata wewe sidhani kama unapenda kutukanwa ,ispokuwa unapenda kuelezwa kwa Lugha ya kistaarabu
 
Hata wewe sidhani kama unapenda kutukanwa ,ispokuwa unapenda kuelezwa kwa Lugha ya kistaarabu
Hilo nikweli lkn pia huyo mtu anaye weza kusimama na kumtukana rais atakuwa na ujasili wa kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom