Unajua h akili zenu zinaonyesha ni kiasi gani wazazi wenu walistahili kupiga nyeto kulko wewe kuzaliwa, Taifa limekula hasara tuMtahangaika Sana Sukuma gang Ila MWISHO WA siku hamtafanikiwa ha ha ha ha.Naona mmeshikwa pabaya mnamtafuta JM kila kona.
Kumbuka amefanya kazi na mtu asiyekubali kukosolewa au kushauriwa.Huyu mama asiependa kufikiria anajitakia haya majanga, halafu anajidai mjuaji hataki kukubali amekosea.
Sisi wapinzani tuliyasema haya kitambo lkn tukaishia kubezwa na chawa wa ccm.Aibu sana kwa Taifa Zima
Hivi katika hali ya kawaida kuna mwananchi anaweza kusimama na kuanza kumtukana rais wa nchi?Magufuli alikubali kukosolewa kwa staha si kutukanwa ,tofautisha hilo
Tanzania hii ni wapinzani tu ndiyo wazareendooo tu wengine ni wachumia tumbo.Wewe ni mpinzani au mchumia tumbo ?,hata hivyo mchango wako ni muhimu kwa ujenzi wa taifa
Wapinzani nchi hii hawapo ,kuna Sacco's tu ,mojawapo ni ya UfipaTanzania hii ni wapinzani tu ndiyo wazareendooo tu wengine ni wachumia tumbo.
Au naongopa ndugu zangu?
Sawa mamaWapinzani nchi hii hawapo ,kuna Sacco's tu ,mojawapo ni ya Ufipa
Hilo nikweli lkn pia huyo mtu anaye weza kusimama na kumtukana rais atakuwa na ujasili wa kutoka wapi?Hata wewe sidhani kama unapenda kutukanwa ,ispokuwa unapenda kuelezwa kwa Lugha ya kistaarabu