Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Huyo Zainab Abdallah ndio Mkuu wa Wilaya ya Bagomoyo.

Jiwe nae alikuwa na wake wangapi? Hivi Angela Jamsine Kairuki ambaye ni mtoto wa nje wa Salim Ahmed Salim yuko wapi siku hizi? Nimeuliza tuu
Yuko Dar, Ana mradi wake Wa ufugaji Wa kuku Kwa Mathias-Kibaha
 
Ujinga mtupu!

Hayo ndio wanayoyaweza sababu wamo wao pekeyao tena wengi wao waliingia kwa maagizo ya vimemo.
 
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakiwa wamesimama baada ya kutambulishwa na Spika Tulia Ackson wakati wa mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

View attachment 2221446
Mke ni mmoja, mwingine/wengine ni suria/masuria - second grade wife, a dedicated concubine
 
Back
Top Bottom