Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

View attachment 2221446

Nina wake wawili na bado nakusudia kuongeza wengine. Ndo kazi ya mwanaume.
 
Hongereni wachaga na wapemba

Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar

Jamaa kaoa familia zote Bora

Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Acha urongo.....mtoto wa mama yuko Kwa Mchengerwa
 
Katika viongozi wanaume waislamu walioko Serikalini wanaojielewa kwenye kuoa ni Raisi Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibar pekee
Ana mke mmoja tu.

Wengine kadri madaraka na pesa zinavyoongezeka ndivyo wanavyoongeza wake
 
Mungu wasamehe waTZ, wengi hawana positive thinking ni CCM na Chadema, wamemaliza.
 
Unafki wa wanaume kwenye huu uzi ni wa kiwango cha lami

Wkt wana michepuko lukuki mafichoni
 
Hongereni wachaga na wapemba

Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar

Jamaa kaoa familia zote Bora

Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Umetufunga kamba unataka kusema mke wa manara ni mtoto wa Samia? Maana huyo ni Ndugu WA kuzaliwa na mke WA manara mkubwa
 
Back
Top Bottom