Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ndogo ndo wamewekeza huko..kweli Chadema inahitajika sana Bungeni
Mwambie akuongeze na wewe uwe wa 5 mkuuAisee mtani wangu Waziri Jafo kumbe ana wake wanne ndio maana hanenepi
Hapo atatumia hata uchawi aendelee kuwa mbunge wa pangani ili atunze wanawake wake, matawi ya wake zake na lake. Na ni lazima awe fisadi.Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221377
Unaoa mke mmja una akili timamu? Au unataka kufa mapema?Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221377
Huyo ndo bi mkubwa .... kifurushi ndo mdogoKa bi mdogo kameng'aaa 😅😅
Hiiii ...Huyo ndo bi mkubwa .... kifurushi ndo mdogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tafsida kidogo mkuu
Zainab abdallah wa kwanza Kutoka kushoto, Ambae Kwa Sasa ni Disii Wa BagamoyoAliyekuwa mkuu wa wilaya ya Pangani ambaye aliolewa na mtangazaji wa azam na jamaa akasababisha ndoa ya jamaa kuvunjika ni yupi hapo?
Umeamua kutulisha Tango Pori Kuhusu Zainab Abdallah? Ni lini ZA amekuwa mjumbe Wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar?Hongereni wachaga na wapemba
Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar
Jamaa kaoa familia zote Bora
Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Kuna siku watapeleka mbwa wao Kama yule wa wema halafu watambulishwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221377
HahahaaaaaaWanaume wakware mnajua mengi ambayo hata vitabuni hayamo
Unapotosha kwa masilahi ya nani ndg.?Hongereni wachaga na wapemba
Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar
Jamaa kaoa familia zote Bora
Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Amefika kwenye limitJafo wa 4
Hawaoni hata aibu kuolewa wawiliMbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
View attachment 2221446
Mbona mzee Mwinyi alikua nao wa2Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
View attachment 2221446