Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Waziri na mbunge, Juma Aweso atinga na wake zake wawili bungeni, shangwe latawala. Kumbe wabunge wanapenda wake wengi kiasi hiki!

Akili ndogo ndo wamewekeza huko..kweli Chadema inahitajika sana Bungeni

Mkuu, mbona Mwenyekiti wetu Mbowe ana Lilian Mtei na Joyce, na wote amezaa nao,, mbali ya akina Wema Sepetu na yule meneja wa nmb tawi la.. aliokwisha ruka nao

Na za chini ya kapeti Pendo Peneza nae ana Kigogo mmoja pale Ufipani ambae ni mume wa mtu
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Pangani ambaye aliolewa na mtangazaji wa azam na jamaa akasababisha ndoa ya jamaa kuvunjika ni yupi hapo?
 
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221377
Hapo atatumia hata uchawi aendelee kuwa mbunge wa pangani ili atunze wanawake wake, matawi ya wake zake na lake. Na ni lazima awe fisadi.
 
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221377
Unaoa mke mmja una akili timamu? Au unataka kufa mapema?
 
Mkuu
Hongera kwa bandiko zuri
Wenye maono watajiuliza hiyo sio ziara/utambulisho wa kimkakati!!?
Kwanini!!?
Siku kadhaa nyuma bandiko la makada wawili wa chama tawala watakaomrithi Mama lilikuja humu jamvini tukachangia mmoja wapo wa Hao wawili ni huyu uliemfungulia uzi wake hapa!!
Je ni co incidence!!?TUSUBIRI
 
Hongereni wachaga na wapemba

Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar

Jamaa kaoa familia zote Bora

Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Umeamua kutulisha Tango Pori Kuhusu Zainab Abdallah? Ni lini ZA amekuwa mjumbe Wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar?

Nadhani unaemsemea kwamba ni mtoto wa Hangaya ni Yule alieolewa na Waziri Wa Utamaduni na Michezo, Some1 Mchengerwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221377
Kuna siku watapeleka mbwa wao Kama yule wa wema halafu watambulishwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi hii ngumu Saana....
 
Hongereni wachaga na wapemba

Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar

Jamaa kaoa familia zote Bora

Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Unapotosha kwa masilahi ya nani ndg.?
Uliyesema ni mtoto wa Samia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ambaye alishawahi kuolewa na Mfanyakazi wa Azam.
 
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

View attachment 2221446
Hawaoni hata aibu kuolewa wawili
 
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]

Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'

View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

View attachment 2221446
Mbona mzee Mwinyi alikua nao wa2
 
Back
Top Bottom