Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuu, hawa vijana wa ufipa hawatii agizo la Mwenyekiti waoJifunze kutumia lugha la heshima na staha...
P
Kuwahudumia wake wa ndoa hata wakiwa wanne wala si gharama kivile kama kuhudumia nyumba ndogo za haramu zisizo na idadi.Kuwahudumia hao wote pamoja na matawi ya ndugu zao, lazima upige ufisadi.
Ila huyo Zainab hapana kwa kweli niwe muwazi mniwie radhi.Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
View attachment 2221446
Duh ! Watu kwa kuunganisha dots ni hatariii !!Mkuu
Hongera kwa bandiko zuri
Wenye maono watajiuliza hiyo sio ziara/utambulisho wa kimkakati!!?
Kwanini!!?
Siku kadhaa nyuma bandiko la makada wawili wa chama tawala watakaomrithi Mama lilikuja humu jamvini tukachangia mmoja wapo wa Hao wawili ni huyu uliemfungulia uzi wake hapa!!
Je ni co incidence!!?TUSUBIRI
MkuuDuh ! Watu kwa kuunganisha dots ni hatariii !!
Anatumia ndumba tangu akiwa darasa la 2.Hapo atatumia hata uchawi aendelee kuwa mbunge wa pangani ili atunze wanawake wake, matawi ya wake zake na lake. Na ni lazima awe fisadi.
Kwa kweli jf kunatisha mkuu !!Mkuu
Humu jf kuna KILA kitu
Hata hatma' ya tz ijayo ipo humu
Sio mtandao wa kupuuzia hiki no zaidi ya jamvi!
TUSUBIRI
Nchi ngumu sana hii😂😂😂😂😂ina vijana wa ovyo kabisaKuna siku mume wa Maza naye atatokea na wake Za watatu huko
Huyu tarimo ndo kaingilia ndoa ya bi zainabu bila shakaMbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki[emoji1787]
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
View attachment 2221483
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
View attachment 2221446
MTT wa tajiri unaenda kuolewa mke wa pili?Hongereni wachaga na wapemba
Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar
Jamaa kaoa familia zote Bora
Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Kuwahudumia hao wote pamoja na matawi ya ndugu zao, lazima upige ufisadi.
Hongereni wachaga na wapemba
Huyo mmoja anaitwa kauther Tarimo mtoto wa mzee Tarimo tajiri la kichaga huyo mwingine mtoto wa mama Raisi Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwanilishi wa baraza la wawakilishi kule zanzibar
Jamaa kaoa familia zote Bora
Wabunge wengine na nyie leteni wake zenu tuwaone
Tarimo ndo mkubwa au mdogo?Huyo ndo bi mkubwa .... kifurushi ndo mdogo
Kumbeee??Zainab abdallah wa kwanza Kutoka kushoto, Ambae Kwa Sasa ni Disii Wa Bagamoyo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app