Waziri na Naibu waziri wamesahaulika kwenye msiba?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi?

Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri kufiwa na baba yake.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
 
Pole mh Naibu Waziri
Pole mh Mohamed.
Endeleeni kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.
 
Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi?

Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri kufiwa na baba yake.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
ok.🐒
 
Watakuwa wamepewa bila wengine kusikia/kuona.Kwamba,tujichoshe kwa kuwapa pole?Sidhani kama inaleta maana sana.Wamepewa za kutosha.
 
Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi?

Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri kufiwa na baba yake.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Tuelekeze wanakoishi tukalale matanga.
 
Back
Top Bottom