Wamemtenga.Mke mkubwa tu kasahaulika, itakua mkwe?
ok.🐒Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi?
Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri kufiwa na baba yake.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Tuelekeze wanakoishi tukalale matanga.Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi?
Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri kufiwa na baba yake.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.