Nimetoka Katavi
Member
- Oct 8, 2019
- 69
- 62
Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara.
Kenha ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania. Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Ukubwa jinga wao usitufanye watupande vichwani mwetu, Tz ni Taifa huru na maendeleo yetu yanawategemea sana watanzania wenyewe na si hao vibaraka,waendelee tu na upuuzi wao tuone nani atakayeloose zaidi.
Sasa mkuu ndege imeshindwa kuja bongo kisa hali ya hewa unataka wizara ya mambo ya nje ifanye nini? Kuna diplomasia ya kutuliza hali ya hewa? Au kenya kuzuia watanzania kufika kwao kisa corona ni swala la kiafya hilo na wako sahihi tu, ili tusiambukizane corona yafaa kila mtu abakie nchini kwao. Sasa kuna diplomasia gani hapo inahitajika katika corona na muingiliano wa watu?
Ndege kuzuiwa kufika ni swala la wizara ya uchukuzi hilo. Na hiyo ni hatua kulingana na janga hili la corona. Kenya ipo corona sana sasa waje huku watuletee corona? Au watoke na corona huku? Na pia kwa nini imekataza vibali vya ndege zetu kutua kwao wakati zao zinakuja kwetu? Hili mamlaka za usafiri wa anga wamalizane wenyewe.
Precision Air wana route Kenya.Sema hawajui pia anachokitaka boss wao
Tunywe pombePrecision Air wana route Kenya.
Au wao sio waTZ?
Mzee wa miaka kendaWaziri wa hiyo wizara huwa anaongea bila tashwishwi na hatumii tashbihi zilizo na mangwaji.
Mwenda tezi na omo, marejeo ngamani
Precision Air ina route za Nairobi na Mombasa na ni WaTZMkuu Air Tanzania ina routes z Kenya?Tuanzie hapo.Kama hakuna wanajisemesha nini sasaa.Hawa kuwadharau Tz hatupeleki hata Mgambo,tunafanya Ujirani mwema na Alshabaab kwa wiki moja tu inatosha.Tz tushapigana sana saa hivi tunajenga Nchi.Uhuru wao Kenya wenyewe kuna Voice ya Tanzania.
Hii ndio naisikia leo! Nina hakika utakuwa unadanganya.Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara.
Kenha ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara.
Kenha ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Tutajie kwanza elimu yako ya DiplomasiaMimi nayachukulia maswala haya kama failure in Diplomacy, na watu inabidi wawajibishwe.
Soon utasikia Kabudi akisema na kusifia kuwa jambo lililotendeka ni jambo la kishujaa huku mate mate yakimtokaYanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha.
Kenya nijirani yetu na jirani ni ndugu.
Hivyo basi matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza.
Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi.
Ndege hii ilikuwa na ujumbe wa viongozi waliokuwa wanakuja kuaga na kuhani msiba wa mzee Mkapa.
Pili kenya iliondoa ukaribisho kwa Watanzania, kati ya nchi nyingi, kwenda Kenya ati kutokana na janga la Korona.
Tatu leo Tanzania kwa kulipiza kisasi imeondoa ruksa ya ndege za Kenya, KA kutua Tanzania toka tarehe 1 Agosti, yaani kesho.
Sasa hapa napata wasi wasi juu ya ukaribu na mfululizo wa matukio haya.
Je hakuna hotline kati ya wizara za Nje kati ya Kenya na Tanzania?
Kweli watu wanafanya kazi zao kwa weledi hadi mambo yatokee hadharani na kuzivunjia heshima nchi zote mbili?
Mimi nayachukulia maswala haya kama failure in Diplomacy, na watu inabidi wawajibishwe.