Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

Kenya walivyo toa nchi zilizo pigwa ban kwao hatuja ona hizi nyuzi zikitetea ila baada ya sisi kupiga ban naona wakenya mnao jiita watanzania mnakuja na nyuzi nyiiingi tena mnaishutumu Tanzania
 
Hii nchi ina endeshwa kama mgahawa wa mama ntilie. Badala viongozi kufuata diplomasia wana fuata hisia binafsi. Kwamba kama huyu kafanya hivi na mimi nafanya hivi. Ndii raha ya maprof wa halalani.
 
Usichukulie poa sana ,huwajui wakenya wewe ,hivi katika mazingira ya kawaida nani huanza kuchokoza mwenzake?,rejea kwenye upimaji.wa madereva, lilishughulikiwa,ghafla jirani yako anaruhusu ndege za uganda ,Rwanda wewe anakuruka unafikiri ni sawa ?,acheni lawama zisizo na msingi ,mkosefu mkuu hapa ni Kenya tena anafanya makusudi kabisa ,tubembeleze nini?,ikiwa anataka kuharibu biashara yetu ya utalii?
 
Mawazo ya kijima yasiyojenga umoja na ushirikiano kati ya majirani.
 
Tanzania exports, imports and trade balance By Country. In 2018, Tanzania major trading partner countries for exports were Rwanda, Kenya, Congo, Dem. Rep., Zambia and Uganda and for imports they were China, India, United Arab Emirates, Saudi Arabia and South Africa.
Main Partner Countries
Main Customers
(% of Exports)
2018
Rwanda18.7%
Kenya9.2%
Zambia7.3%
Uganda5.3%
United States4.1%
See More Countries55.4%
https://www.nordeatrade.com/en/explore-new-market/tanzania/trade-profile
 
Sema hawajui pia anachokitaka boss wao
Precision air huwa wana route ya Kenya karibu kila siku. Kuzuia ndege haina maana ni ATC pekee; licha ya precision air; kuna chattered airlines (hizi ni ndege za kukodi kama taxi) ambazo husafirisha watu binafsi husan watalii ambao wangependa kuingia +254 tokea Tanzania.

Kiufupi, sisi na jirani yetu (+254) toka enzi ya mwl, huwa tuna figisu+figisu; sijui ni lini litaisha.
Walipokosa vitunguu sokoni Nairobi, Balozi wao Dan Kazungu akaja na msemo, "jamani sisi ni ndugu"
Ngoja tuone, tunaendaje kwa sasa.
 
Point
 
Ukubwa jinga wao usitufanye watupande vichwani mwetu, Tz ni Taifa huru na maendeleo yetu yanawategemea sana watanzania wenyewe na si hao vibaraka,waendelee tu na upuuzi wao tuone nani atakayeloose zaidi.

Mkuu.

Huu mchezo hautaki hasira.
 
Tungekuwa na watendaji wenye jicho la kibiashara, huu ulikuwa wakati wa kutengeneza hela sana.

Kenya hawana nafaka ya kutosha kwa ajili ya ugali, gidheri (makande) na pumba chakula cha ng'ombe. Hawana raw materials za kutosha kutoka kwenye pamba, ufuta au alizeti kwa ajili ya mashudu.

Huu ulikuwa wakati wa kuuza final products za mahindi (unga wa sembe au dona) na kuuza chakula cha wanyama kilichosindikwa kwa ajili ya kuku wao, ng'ombe au nguruwe.
Vitunguu na tangawizi, ilitakiwa tusindike na kuuza kama onion powder, ginger powder. Tunaongeza thamani kwa kutengeneza ajira na kupata fedha nyingi zaidi.

Yani ngoma zinachakatwa huku (tunazalisha ajira) then tunauza final products. Mbona wao wanauza siagi ya Blue band na prestige, bila hata kuitangaza. Wanauza maziwa ya brookside na New KCC. Hivi vimejaa supermarkets zao.

Very unfortunate, wizara za kilimo na wizara wa viwanda, wizara ya fedha hazina watu wenye DNA ya kujua namna gani ya kutengeneza synergy ili "tuwapige hela" kiroho safi kwa biashara zaidi. Chakula toka Tanzania ni kila kitu kwa Kenya ikujumuisha mchele wenye harufu nzuri.
 

Achana na usiyoyajua Wakenya ni Mbwa, wamechezea viongozi waliopita kwa kiwango cha juu, sasa wamekutana na brain, mzalendo na mchapakazi. Kaa kimya kwa usioyajua tuna mafaili ya kauli na matendo ya wakenya kabla, wakati na baada ya uhuru mpaka leo, Wakenya ni mbwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…