PostGE2025 Waziri Nanauka: Vijana hawana taarifa za fursa za serikali

PostGE2025 Waziri Nanauka: Vijana hawana taarifa za fursa za serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema baada ya kuwatembelea vijana kwenye maeneo mbalimbali amegundua kuwa moja ya changamoto zao ni kutokuwa na taarifa za fursa zinazotolewa na Serikali.

Sijaelewa.

Fursa ziwekwe wazi, kwa usawa bila upendeleo wa vyama, itikadi, undugu bila vimemo, halafu vijana wazipuuze
 
Fursa wanapeana huoni manu ni waziri?
 
Aache uchawa basi Hakuna vijana ambao wanapata taarifa za fursa mbalimbali kwa haraka hapa east Africa kama vijana wa kitanzania ndio maana kila fursa inapotoka hata kama ni ndogo unakuta inapambaniwa na maelfu na maelfu ya vijana.
Tatizo fursa zinatolewa kwa kujuana
 
Wewe ambaye unazjua hzo fursa si uziseme sasa tupate taarifa, we mbona haujaztumia ila umekmbia kilichokufanya uache kazi UN ukakmbilia ubunge fake mpk kuteuliwa kuwa waziri fake unatuona sisi ni jugulu eeeh..ninachojua vjana wanapewa elimu fake ya kmagumashi na ksiasa ili ccm iendelee kutawala watu wajinga ila ndo imefka mwsho ccm haitainuka tena ever vijana wakpambana wnyw serikali fake ya maccm inakmbilia kutoza kodi kwny ktu ambacho hata hawajaktolea fursa.
 
Back
Top Bottom