Ndugu zangu, baada ya kadhia ya Oktoba 29, ilianzisha wizara itayodili na masuala ya vijana tu. Sote tuliona waziri mwenye dhamana kuzunguka baadhi ya mikoa na kukutana na makundi mbalimbali ya vijana ili kusikiliza kero zao.
Nini kimemkuta waziri wetu sisi vijana? Mbona hatumuoni tena?
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee.
Akizungumza kuhusu mpango huo...
Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema baada ya kuwatembelea vijana kwenye maeneo mbalimbali amegundua kuwa moja ya changamoto zao ni kutokuwa na taarifa za fursa zinazotolewa na Serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.