Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sijaelewa.Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema baada ya kuwatembelea vijana kwenye maeneo mbalimbali amegundua kuwa moja ya changamoto zao ni kutokuwa na taarifa za fursa zinazotolewa na Serikali.