Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
“Tunaona mijadala yote, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania hasa kizazi cha watoto wetu kipo salama. TCRA watapima madhara yatokanayo na mabadiliko ya sera yaliyofanywa na mtandao husika na mitandao mingine na kuchukua hatua stahiki kwa wakati sahihi.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari